Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
Ikiwa Rais Obama amekaa madarakani miaka 4 na kufanya jumla ya safari 32 na kutakiwa kutaja faida ya kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena, Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na kufanya jumla ya safari 68 tu, Ndg. JK Amekuwa madarakani kwa muda miaka 7 na kufanya jumla ya safar 322,Je nini kifanyike kudhibiti mfumuko wa safari kwa Rais wetu? Je,Lini atatoa maelezo ya faida za safari hizo?