Watu 20 wafariki Gaza baada ya Jeshi la Israel kushambulia shule ya Fahmi al-Jarjawi

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,929
Reaction score
6,030
Angalau watu 20 wameuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye shule ya Fahmi al-Jarjawi mjini Gaza, ambapo wakimbizi wa ndani walikuwa wakijihifadhi, kwa mujibu wa waokoaji. Zaidi ya watu 60 walijeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto.

Jeshi la Israel limesema lililenga kituo cha uongozi wa Hamas na Islamic Jihad kilichokuwa ndani ya shule hiyo, likisisitiza kuwa walichukua tahadhari kupunguza madhara kwa raia.

Shambulio hili linakuja wakati mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yameongezeka, huku msaada wa kibinadamu ukiwa bado ni mdogo sana licha ya kuanza tena kutolewa baada ya karibu miezi mitatu ya kuzuiwa.

Viongozi wa dunia waliokutana Madrid mwishoni mwa wiki wametaka vita hivyo vikomeshwe, wakivitaja kuwa "visivyo vya kibinadamu" na "visivyo na maana".

Wakati huo huo, Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema anataka kuona uwezekano wa kumaliza mapigano hayo haraka iwezekanavyo.

=======================================

Rescuers said an Israeli strike on Monday killed at least 20 people at a Gaza school sheltering displaced people, as Israel steps up what it calls an offensive to destroy Hamas.

The intensified violence, after a nearly three-month blockade of humanitarian supplies into the Gaza Strip, has sharpened international condemnation of Israel.World leaders meeting in Madrid at the weekend called for an end to the "inhumane" and "senseless" war, while humanitarian organisations said the trickle of resumed aid is not nearly enough to staunch the hunger and health crises.

In Gaza City, civil defence agency spokesman Mahmud Bassal said that "at least 20 martyrs" were transported to hospital, most of them children, and 60 people were wounded in the "horrific occupation massacre at the Fahmi al-Jarjawi school" at dawn, where hundreds of people were sheltering, referring to Israel.

The Israeli military said it had "struck key terrorists who were operating within a Hamas and Islamic Jihad command and control center embedded in an area that previously served as the 'Faami Aljerjawi' School in the Gaza City area", adding that "numerous steps were taken to mitigate the risk of harming civilians".

Source: The Hindustan Times

Amechomwa binti mdogo kaungua mpaka kufa picha inatisha, hivi nyinyi mnazani hamasi mtawapata kila sehem? Mnaintelligence ndogo sana mtaishi mkiranda randa ili akamilishe nia yenu ovyo ya kuua watoto lakini Mungu ni mwema bado vita itapiganwa kwa karne nyingi tu
 
maskini israeli wateule wa yehova,taifa lililobarikiwa kwa kupigana na wakimbizi
 
Hii sasa sio vita, ni uharibifu wa jumla wa mji:
Hao Hamas sijui wako wapi kukabiliana na waliye mchokoza:
Hu ni uhalifu wa kivita, hata DRC kwani unadhani jeshi la Congo lilishindwa kupiga mabomu kila makazi ya watu kwa kisingizio cha kutafuta "M 23".

Hata Putin angeweza Rusha tu nuclear ikaimaliza vita kesho asubuhi tu ila anapunguza collateral damage maana utaua wanajeshi elfu 20 na raia mamilioni.

Netanyahu is crazy
 
Na dunia inamwangalia tu Israeli afanye anavyotaka:
Inasikitisha sana:
 
Amechomwa binti mdogo kaungua mpaka kufa picha inatisha, hivi nyinyi mnazani hamasi mtawapata kila sehem? Mnaintelligence ndogo sana mtaishi mkiranda randa ili akamilishe nia yenu ovyo ya kuua watoto lakini Mungu ni mwema bado vita itapiganwa kwa karne nyingi tu
Huyo ndiyo wewe amekuuma kupita watoto waliouguzwa moto baada ya nyumba zao kuchomwa moto na magaidi walipovamia makazi ya wayahudi Oct 07,2023?

Naamini siku hiyo ulikuwa unasherehekea kuuwawa kwa wayahudi 1,200 na wengine 251 kute kwa nyara na magaidi hao!! Kama siku hiyo ulikuwa unafurahia vifo hivyo vya wayahudi nakuamba tu uendelee kufurahia wakati Majeshi ya Israel yakishambulia Gaza kwa nia ya kuwatafuta mateka wao waliotekwa na magaidi wa Hamas.
 
Unatafuta nini Gaza mwaka mzima hamna unachopata? Utampata nani pale gaza? Suluhisho uliambiwa ni ceasefire yaani makaratasi sasa shupaza shingo
 
Mkuu mpaka leo hii hujajua lengo la Israel kuwa Gaza ni nini?
 
Angalau watu 20 wameuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye shule ya Fahmi al-Jarjawi mjini Gaza, ambapo wakimbizi wa ndani walikuwa wakijihifadhi, kwa mujibu wa waokoaji. Zaidi ya watu 60 walijeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto.

Jeshi la Israel limesema lililenga kituo cha uongozi wa Hamas na Islamic Jihad kilichokuwa ndani ya shule hiyo, likisisitiza kuwa walichukua tahadhari kupunguza madhara kwa raia.

Shambulio hili linakuja wakati mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yameongezeka, huku msaada wa kibinadamu ukiwa bado ni mdogo sana licha ya kuanza tena kutolewa baada ya karibu miezi mitatu ya kuzuiwa.

Viongozi wa dunia waliokutana Madrid mwishoni mwa wiki wametaka vita hivyo vikomeshwe, wakivitaja kuwa "visivyo vya kibinadamu" na "visivyo na maana".

Wakati huo huo, Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema anataka kuona uwezekano wa kumaliza mapigano hayo haraka iwezekanavyo.

=======================================

Rescuers said an Israeli strike on Monday killed at least 20 people at a Gaza school sheltering displaced people, as Israel steps up what it calls an offensive to destroy Hamas.

The intensified violence, after a nearly three-month blockade of humanitarian supplies into the Gaza Strip, has sharpened international condemnation of Israel.World leaders meeting in Madrid at the weekend called for an end to the "inhumane" and "senseless" war, while humanitarian organisations said the trickle of resumed aid is not nearly enough to staunch the hunger and health crises.

In Gaza City, civil defence agency spokesman Mahmud Bassal said that "at least 20 martyrs" were transported to hospital, most of them children, and 60 people were wounded in the "horrific occupation massacre at the Fahmi al-Jarjawi school" at dawn, where hundreds of people were sheltering, referring to Israel.

The Israeli military said it had "struck key terrorists who were operating within a Hamas and Islamic Jihad command and control center embedded in an area that previously served as the 'Faami Aljerjawi' School in the Gaza City area", adding that "numerous steps were taken to mitigate the risk of harming civilians".

Source: The Hindustan Times

Japo leo umevaa nguo zako zote ukweli umependeza sana!!!!!!!!

machozi ya ulimwengu yapo pamoja na wanyonge vichanga vya Palestina !!!

uku wakibebeshwa majina mabaya japo leo umegoma kuwaita majina mabaya wanyonge wenye kulilia utu wao ,
 
Unataka dunia ifanye nini wakati Magaidi hao ndiyo walioivamia Israel na mpaka sasa wanashikilia mateka wa Israe!? Acha wapigwe tu maana hakuna namna nyingine!!
Sijawahi kuona vita ya namna hiyo toka dunia iumbwe:
Vita inapigwana upande mmoja tu:
Hao Hamas wako wapi ?
Kuna uhakika gani kama Mateka wako hai ? Wamefichwa wapi ?

Mji umebomolewa wote na kugeuzwa kifusi, hii ni vita au kuna ajenda nyingine?
Ki mtazamo mpana kinachoendelea Gaza ni Uhalifu wa Kivita usio zingatia sheria za vita na haki ya binadamu wengine kuishi:
 
Wajaalana mayahudi wakiimba ' tunapenda kuwabaka na kuwaua wapalestina karibu na msikiti mkubwa kabisa wa heshima' hawa ndio wayahudi Mazayuni yaliyotuaminisha Hitler ni mbaya
 
Attachments

  • VID_20250526_091231_924.mp4
    2.4 MB
Unatafuta nini Gaza mwaka mzima hamna unachopata? Utampata nani pale gaza? Suluhisho uliambiwa ni ceasefire yaani makaratasi sasa shupaza shingo
Hakuna Ceasefire kama mateka mliowateka hawataachiwa, haijalishi itachukua muda gani kinachotakiwa ni malengo ya vita ya Israel yatimie bila hivyo mtapigwa mpaka mchakae!!!
 
Japo leo umevaa nguo zako zote ukweli umependeza sana!!!!!!!!

machozi ya ulimwengu yapo pamoja na wanyonge vichanga vya Palestina !!!

uku wakibebeshwa majina mabaya japo leo umegoma kuwaita majina mabaya wanyonge wenye kulilia utu wao ,
Wanyonge gani walibaka,kuteka watu 251 na kuua watu wasio na hatia 1,200 kwa siku moja? Mnawatumia watoto kama Kinga ili kutafuta huruma kwa walimwengu hakuna wanyonge hapo wote ni magaidi tu. Na sasa ache wachezee kichapo tu!!!
 
Sijawahi kuona vita ya namna hiyo toka dunia iumbwe:
Vita inapigwana upande mmoja tu:
Ni kweli hujaona vita kama hii maana ni vita tofauti na zingine. Hapa Israel wanawapa mpaka chakula adui wanayepigana naye kitu ambacho kwenye vita yoyote huwezi kuona, kwenye vita hii Israel inatoa angalizo kabla ya kushambulia hii huwezi kuiona kwa majeshi mengine isipokuwa kwenye jeshi la Israel tu!!!

Kwa ujinga wako unataka ipiganwe na upande upi? Maana Oct 07,2023 ilipiganwa upande wa Israel Magaidi wakaua watu 1,200 na kuteka nyara watu 251 na sasa hivi vita vinapiganwa upande wa Gaza kwani tatizo ni nini?
Hao Hamas wako wapi ?
Kuna uhakika gani kama Mateka wako hai ? Wamefichwa wapi ?
Kama wewe hujui Hamas wako wapi Liache jeshi la Israel lifanye kazi yake maana li Najua wako wapi!!
Kuwa Mateka wako hai au ni wafu hiyo si kazi yako kujua liache jeshi la Israel liweze kuwatafuta wakiwa hai au wafu maana ni watu wao wewe hawakuhusu kabisa.
Mji umebomolewa wote na kugeuzwa kifusi, hii ni vita au kuna ajenda nyingine?
Ki mtazamo mpana kinachoendelea Gaza ni Uhalifu wa Kivita usio zingatia sheria za vita na haki ya binadamu wengine kuishi:
Oct 07,2023 wewe uliwapangia Hamas namna ya kufanya walipovamia Israel? Kama hukuwapangia wewe unapata wapi ujasiri wa kuwapangia wana wa Yakobo namna ya kumpiga adui yao?? Kama wao Hamas hawakufanyi ubinadamu Oct 07,2023 wewe unapata wapi haki ya kuwasema wayahudi?? Tumia vizuri akili yako!!!!
 
Back
Top Bottom