Watu 20 wafa ajalini Busega

Sio kila kitu lazima ukianzishie thread... Take time uangalie kama thread imeshaanzishwa sio kukurupuka kuanzisha habari yenyewe ina makosa kibao!!
 
Kati ya waliofariki mmoja ni mratibu Elimu kata wangu wa kata ya Nyasubi [R.I.P]
 
😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray:😛ray:😛ray:😛ray::amen::amen:
 

gari lililopata ajali ni luhuye na ilikuwa inatoka tarime kwenda mwanza ajali imetokea eneo la nyanshimo watu 20 wamefariki palepale .
 
Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa, baada ya basi la LUWULE walilokuwa wakisafiri nalo kutoka Musoma kwenda Mwanza kuacha njia,kugonga nyumba na kupinduka katika kijiji cha Itwimila wilaya ya Busega.chanzo:EATV
 
Pole majeruhi na waliotangulia wajaaliwe linalostahili.
 
ni basi la luhuye limegonga nyumba ni ajali mbaya sana
 
Mbaya sana hii kitu pole sana wafiwa.
 
kibo 10 naye kapost kama wewe neno kwa neno, ni id yako pia?
 
watu 20...majeruhi cjui itakuaje hali zao....Kweli hatuijui siku wala saa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…