Watu 20 wafa ajalini Busega

Watu 20 wafa ajalini Busega

issenye

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
3,795
Reaction score
5,252
Watu wapatao 20 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa vibaya sana baada ya basi la Nyehunge (au Luhuye) kutoka Musoma kwenda mwanza kuacha njia na kugonga nyumba kisha kupinduka katika kijiji cha itimila/Itumila A wilayani Busega mkoani simiyu

Chanzo: ITV breaking news

---------------------------------

attachment.php


attachment.php



attachment.php
 
Jamani nmefanikiwa kupiga picha za tukio lile la Basi la LUHUYE KULE busega japo picha sio safi sana itabidiu mvumilie tu
MORE IMAGES NILIZOPATA
 

Attachments

  • 21042014153.jpg
    21042014153.jpg
    159.3 KB · Views: 2,365
  • 21042014154.jpg
    21042014154.jpg
    168.7 KB · Views: 2,138
  • 21042014155.jpg
    21042014155.jpg
    146.2 KB · Views: 13,405
  • 21042014163.jpg
    21042014163.jpg
    117.5 KB · Views: 13,507
  • 21042014164.jpg
    21042014164.jpg
    80.8 KB · Views: 1,354
  • 21042014165.jpg
    21042014165.jpg
    169.4 KB · Views: 1,242
  • 21042014166.jpg
    21042014166.jpg
    178.5 KB · Views: 1,321
  • ks2.jpg
    ks2.jpg
    18.3 KB · Views: 871
  • ks.jpg
    ks.jpg
    30.3 KB · Views: 12,762
  • 1.jpg
    1.jpg
    57.7 KB · Views: 486
  • 2.jpg
    2.jpg
    65.5 KB · Views: 739
  • 3.jpg
    3.jpg
    50.4 KB · Views: 649
  • 4.jpg
    4.jpg
    62.3 KB · Views: 708
  • 5.jpg
    5.jpg
    43.3 KB · Views: 635
  • 6.jpg
    6.jpg
    67.3 KB · Views: 690
  • 7.jpg
    7.jpg
    59.9 KB · Views: 601
  • 8.jpg
    8.jpg
    33.3 KB · Views: 672
  • 9.jpg
    9.jpg
    63.6 KB · Views: 561
  • 10.jpg
    10.jpg
    52.3 KB · Views: 736
  • 12.jpg
    12.jpg
    33.9 KB · Views: 627
  • 13.jpg
    13.jpg
    51 KB · Views: 721
  • 14.jpg
    14.jpg
    51.8 KB · Views: 775
  • 15.jpg
    15.jpg
    50.4 KB · Views: 898
Mungu tusaidie jamani, hizi ajali mbona zimekua nyingi ivi jamani.Nlikua namskiliza Sam mahela anavoripoti hamna ata vifaa vya ukoaji hali ni mbaya.
 
Basi la Luhuye...,hao jamaa wanakimbia kama wehu.mwezi uliopita karibu atumwage sehemu,mpaka nikaapa kutolipanda tena.
 
Barabara yote kuanzia sirari hadi mwanza hakuna tochi ya polisi. Magari, hasa mabasi yanaendeshwa kwa fujo sana. Kamanda mpinga aweke tochi pengine madereva wataogopa.
 
Habari tulizopata ni kwamba kuna ajali ya basi la Luhuye liendalo Sirari na Mwanza limepata ajali leo. Taktiban watu ishirini wamefariki papo hapo. Ajali hiyo imetokea maeneo ya Mwamanyiri. Taarifa zaidi Na picha zitawajia nitalapofika eneo la tukio.
 
Barabara yote kuanzia sirari hadi mwanza hakuna tochi ya polisi. Magari, hasa mabasi yanaendeshwa kwa fujo sana. Kamanda mpinga aweke tochi pengine madereva wataogopa.

Hiyo road inawenyewe!! Kwan mpinga hajui kama hakuna tochi?? Zacharia ni rafiki mkubwa wa Gachuma, Gachuma ni swahiba wa mkulu,na Gachuma ni mmoja kati ya madon wa kanda ya ziwa
 
Du!!!! MUNGU azilaze mahala pema pepono roho za marehemu...Poleni wafiwa na majeruhi pia.
 
Back
Top Bottom