Watsapp inashindwa ku update baadhi ya contact

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,909
Nimejaribu kudownload upya watsapp na pia kurefresh lakini bado kuna contact haionekani. Na hiyo contact iko kwenye watsapp
 
jaribu kusave contact zako kwenye simu na sio kwenye line.
 
Nimejaribu kudownload upya watsapp na pia kurefresh lakini bado kuna contact haionekani. Na hiyo contact iko kwenye watsapp

nenda settings > contacts > tick enable all contacts. itaonesha contact zote na ambazo ziko hidden kisha refresh whatsapp contact list utaona namba mpya zimekuja
 
Sometime kuna namba zinahitaji kuanza na +255 ieke kwenye international format halafu refresh. Pia unaweza mwambia mtu aanze kukutext wewe.
 
mkuu nimefanya imenigomea
 
Sometime kuna namba zinahitaji kuanza na +255 ieke kwenye international format halafu refresh. Pia unaweza mwambia mtu aanze kukutext wewe.

Nimefanya hivyo bado hata ya kwangu haionekani kwenye list yake
 
Back
Top Bottom