watsap na internet ya bure ya airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watsap na internet ya bure ya airtel

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Jan 22, 2012.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  nafikiri wengi munaijua hii application ya watsap, ok ni hivi hii aplication ina sifa moja hua haidisconect network yaani muda wote internet connection yako inakua active so ina maana ukiiconect sa 5 usiku na net ya bure ya airtel mpaka kesho mchana utaendelea kutumia bure hadi mb 200 ziishe

  Ila usizime simu wala usiende eneo lisilo na network ili isiji disconect, kama unaswali hujaelewa unaweza kuuliza hapo chini
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  aaaaaahhhhh.......
  inaanza saa ngap, leo nahamia na kitanda nalala humo humo!!""
   
 3. rfjt

  rfjt Senior Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Sio wote tunaoijua hiyo sw, ungetuwekea tu link ili tuweze kudownload, plz!
   
 4. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Najua Whatsup inakufanya utume text messages bure kama una internet wakati wowote, ziwe MB 200 za bure au za kununua. Sasa hapo cha zaidi inachofanya whatsup sijui ni nini ulichokieleza.
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  Yani ni hivi watsap inafanya net iwe active. Simu ispokua active kunakua na kialama G au E au 3G kikiwa plane then ikiwa active hivo vialama vinazungushiwa.
  airtel bure internet inaisha asubuh sina uhakika but sa 11 au 12 lakini kama una watsap airtel watashindwa kuku disconect so utaendelea tumia bure sjui kama umenipata
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  http://www.whatsapp.com/nokia/WhatsApp.sis kaka click hapo juu latest version kwa nokia,
   
 7. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ina Maani Kwa Nokia Tu?
   
 8. danione

  danione Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
   
 9. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  yap ni nokia blackberry na iphone
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  nokia, blackberry, iphone na android. Haingii kwenye 2700 only nokia smartphone
   
 11. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  anhaaa... nimekupata sasa, ila kitu kimoja tu, unamaanisha utaendelea kutumia mpaka 200MB zako ziishe, sio utaendelea kutumia bure. Kama unapimiwa megabytes basi tusiseme "bure," tunayapa makampuni ya simu free advertisement wakati wao wanatu screw kwa kwenda mbele.

  Sante mkubwa.
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  vp express music
   
 13. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  Inategemea ni express music ipi zipo zinazoingia watsap na nyengine haziingii, simu yako inabidi iwe multtask yaani uwe unaweza kuminimise application moja na kufungua nyengine,
   
 14. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  jaman mbona kwenye nokia c1-o1 inaandika not found
   
 15. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hata mie kwenye nokia 3110C ina andika not found, vipi hapo mtoa mada?
   
 16. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Ni bure kwa mwaka wa kwanza tu, $2/year after that.
  c1-01 haiko supported, kwa Nokia unatakiwa uwe na s60 hizi
  [h=2]Supported device list:[/h]
  • Symbian: X7 · E6 · N8 · C6 · C7 · E7 · 500 · 600 · 603 · 700 · 701
  • S60 5th edition: Nokia 5800 · Nokia 5530 · Nokia 5230 · Nokia 5233 · Nokia 5235 · Nokia N97 · Nokia N97 mini · Nokia X6 · Nokia X5-01 · Nokia C6 · Nokia C5-03 · Samsung i8910 Omnia HD · Sony Ericsson Satio · Sony Ericsson Vivaz · Sony Ericsson Vivaz Pro
  • S60 3rd edition: Nokia 5700 · Nokia 6110 · Nokia 6120 · Nokia 6121 · Nokia 6124 · Nokia 6700 · Nokia 6290 · Nokia E51 · Nokia E63 · Nokia E66 · Nokia E71 · Nokia E90 Communicator · Nokia N76 · Nokia N81 · Nokia N81 8GB · Nokia N82 · Nokia N95 · Nokia N95 8GB · Nokia 5320 · Nokia 5630 · Nokia 5730 · Nokia 6210 · Nokia 6220 · Nokia 6650 fold · Nokia 6710 Navigator · Nokia 6720 · Nokia 6730 · Nokia 6760 Slide · Nokia 6790 Surge · Nokia C5 · Nokia E52 · Nokia E55 · Nokia E72 · Nokia E73 · Nokia E75 · Nokia E5 · Nokia N78 · Nokia N79 · Nokia N85 · Nokia N86 8MP · Nokia N96 · Samsung GT-i8510 · Samsung GT-I7110 · Samsung SGH-L870 · Samsung SGH-G810 · Samsung SGH-iNN

  Au S40 hizi
  Nokia C3-00 · Nokia C3-01 · Nokia X2-01 · Nokia X3-02 · Nokia X2-00
  Nokia Asha: 201 · 300 · 303

  Simu zote za iPhone

  Simu karibia zote za Android 2.1 and above

  Simu za BB OS 4.6 and above.
   
 17. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu...get a life!
   
 18. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #18
  Jan 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  naona mada imehamia kwenye watsap, download hata nimbuzz au application yoyote ile inayo operate background cha muhimu ikifika asubuh internet isijidisconect iwe active ili ukiamka asubuh na mchana uendelee kutumia net yako ya bureeee hadi mb 200 ziishe,
   
 19. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #19
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hakikisha huna hela,wala bundle yeyote ndo utaendelea kutumia hzo mb200. I've been usng ths nifty trick for a while,ila kama huna bahat huwa inajidisconect yenyewe kwnye mida ya saa 4 asbh,bt siku nyngne huwa haikati.
   
 20. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  simu zote hata za android
   
Loading...