Wats so special with SUA graduates?

Ukweli ni kwamba, hiyo ni labour retention strategy ya makampuni mengi na imekua ikitumiwa sana na micro finance institutions kama vile FINCA na PRIDE. wanaajili mtu kwenye field isiyoendana na vyeti vyake ili baadae asiweze kuondoka kirahisi. kwenye hayo makampuni niliyotaja waliwaajili sana kama loan officers na wanawalipa kidogo kulinganisha na hali halisi. HUU ndio ukweli, hakuna chochote special zaidi ya kuandaliwa kunyonywa!
 
graduate wa sua wanafundishika na ni wepesi wa kuelewa na kuadapt mazingira hata kama sio field waliosomea. Mi nawakubali kwa kuwa wko flexible....
 
Jamani wiki hii na sua tu, mimi ni muhitimu wa Sua cumpus ya muccobs, what is so special for Sua, ni kwamba chuo kina sehemu mbili sua main cumpus na muccobs so huenda hao watu walitoka muccobs kama mmoja anavyodai hapo juu, na si dhambi kumuajiri mtu kulingana na kile alichonacho na kukipata shuleni, sasa nasema hv kwani kazi zote wanatakiwa wapate watu wa udsm? Huu ni ufinyu wa mawazo, na kama msomi hutakiwi kuuliza vitu kama hv, watu wa sua+muccobs ni wazuri tu waache wafanye kazi bana hv vyuo hamna ulegelege kazi tu, kweli mwaka huu sua+muccobs wanawapa presha. Mwisho senetor wew upo udsm, soma kaz ni bahati na uwezo wa m2 binafsi kulingana kile alichokipata chuo
 
Mshenzi mkubwa wewe..anafuga panya mama yako...usifharau shule tulizosoma mpumbavu wewe

Kaka hata mie nimesoma SUA lakini matusi ya nini inabidi kumuelewesha jamaa ili aelewe kinachotolewa SUA inawezekana hajui na sio kusa lake kaka.
 
Ukweli ni kwamba, hiyo ni labour retention strategy ya makampuni mengi na imekua ikitumiwa sana na micro finance institutions kama vile FINCA na PRIDE. wanaajili mtu kwenye field isiyoendana na vyeti vyake ili baadae asiweze kuondoka kirahisi. kwenye hayo makampuni niliyotaja waliwaajili sana kama loan officers na wanawalipa kidogo kulinganisha na hali halisi. HUU ndio ukweli, hakuna chochote special zaidi ya kuandaliwa kunyonywa!

Ngudu kuwa loan officer unafikiri nini kinachohitajika ambacho graduate wa SUA hana? usiwe na mawazo mfilisi jaribu kutafiti halafu uje hapa na tangible arguments.
 
I don't care a lot about where one graduates ila kila chuo kina sifa zake. Na wale agricultural engineers wa sua wanakwenda wapi? Zamani walikuwa wanakatiza UDSMN FOE. Nusu yao walikuwa majeruhi wa disco kabisaaa wakaamua kuchukua ile kozi yote wafanye wenyewe sua
 
Mwanzoni tulikuwa tunalinganisha vyuo, sasa tumehamia kwenye graduates then what next!!.
 
Graduates wa sua wanafit everywhere na wanapiga kazi sana maana chuo chao kinamchakamchaka wa ajabu kwahiyo hutoka wakiwa hardworker na masomo yao mengi ni yale ya faida kwa jamii za watanzania ambao wengi ni wakulima. Ukiangalia hicho ndicho huenda kilichompa upendeleo

Nakubali wako flexible sana; wanaweza kutibia MAD COW DISEASE na kutegua mabomu kwa kutumia PANYA!

Katika CV inaitwa MULTI-TASKING
 
Back
Top Bottom