Hivi huyu Oprah mie simfahamu why would she choose to live in adultery I think she can take good care of her dogs than a human being... and I dont buy that she has built a school instead of having her own kids.hivi mtu kama OPRAH WINFREY ALIEKATAA
KUWA NA WAOTO WALA KUOLEWA UTAM DEFINE VIPI?
KAKATAA BARAKA?????????
Kuna watu wengi nakutana nao na kitu kimoja nakigundua ni kuwa
watu wengi bado wanaamini kuwa na watoto wengi ni baraka au
utajiri wa aina fulani.....
matokeo yake watu wengi wanazaa watoto wengi na suala la matunzo
linakuwa ama ni mzigo mkubwa au wana sacrifice sehemu kubwa ya maisha yao
ili tu kuwapa watoto wao maisha ya kuaminika hasa elimu na gharama zingine.....
swali ambalo nikiwauliza watu na majibu wanayonipa ni ajabu sana ni hili....
je ni lazima kuwa na watoto?????
tunakuwa na watoto kwa malengo gani hasa?????
kwa nini watu wengi wana prefer kuwa na watoto wengi???(i mean kuanzia wawili)?????
je watu wakishauriwa wasizae au wazae mtoto mmoja wengi hawakubali.why???????
je unaamini watoto wengi ni mtaji utakaokuja kukusaidia hapo baade?why???
je ukiamua kutokuwa na watoto ni hasara?????hasara ipi???????
je watu wasiokuwa na watoto hupata tabu gani
hapo baade????
mimi binafsi naona watu wengi wenye watoto wanapata tabu na kuwapa tabu pia hao watoto..
pia muelekeo wa dunia na idadi ya watu inavyoongezeka..
its high time watu wakaamua kuwa na mtoto mmoja tu kila familia.
na wengine washauriwe kutozaaa kabisa......
binafsi naamini watu wengi wangeishi vizuri zaidi kama wasingekuwa na watoto
au wangekuwa na mtoto mmoja au wawili......
nyinyi mnaonaje???????????????
........Wee Boss una watoto/mtoto?
Kuzaa muhimu sana hapa duniani, ila inategemea na kipato chako na majukumu uliyonayo. Ila kusema kwamba mtu uamue tu kutozaa hiyo ni kituko, labda kama una matatizo ya uzazi. Mimi binafsi bado sijazaa, ila natamani sana kuitwa mama, na Mungu akijalia nataka niwe na angalau watoto 2 ambao najua nitaweza kuwalea katika maisha mazuri.
ni kama kuolewa/kuoa...ukifikia umri fulani then jamii inayotuzunguka inaexpect uwe umefanya hivyo na watoto pia ni must...ni part ya culture yetu,otherwise kama huna mtoto then kubali kuishi pengine ama ukubali hii jamii ikuzonge!!!,ni sawa na kwenda China,ambao wameshajiwekea kama utaratibu kuwa na familia ndogo/watoto wachache afu uzae watoto sita ama nane...lazima watakuzonga na hutaishi kwa amani!...LOL
kuwa na watoto imekuwa kama general rule baada ya ndoa,infact nikijitokeza leo niseme sijaolewa nataka mchumba/mwanaume...ila sina uwezo wa kuzaa mtoto...sidhani kama NITAPATA...which is sad...lol
sijui naandika nini,am drunk...lol
ukisema unatafuta mchumba na unakunywa kiasi cha kushindwa kujua unaandika nn...ni afadhali yule asiyeweza kuzaa kabisa!!!
Si afadhali kutopata watoto kuliko kujua kabisa utazaa mtoto mwenye utindio wa ubongo!!!
Style up....
- Am sure wenye watoto wenye mtindio wa ubongo watakuwa offended na sentesi yako ya mwisho...,apologize...NOW!!!?!
- IF you really want to know,sitafuti mchumba,sinywi kabisa pombe,nina uwezo wa kuzaa mtoto mwenye afya njema,,(
kwanza watu wa grammar tunakushitaki kwa kutumia kwesheni mark nyingi (overdose).
beki tu ze topik:kama sio uzazi:: wewe,mimi,kikwete,invizibo,jerry murro,mc lemma ,jf mpya ,tusingekuwepo. ULIZALIWA ILI UZAE BABA. tukigoma kuwazalisha wake zetu nani ataiondoa CCM madarakani miaka 20 ijayo heheehhe(hapa greti thinka nimeona mbali kweli)
Hey
Umedeclare kuwa hujazaa bado. Je, umejuaje na una uhakika gani kuwa una uwezo wa kuzaa mtoto mwenye afya njema?