Watoto watakaozaliwa hapa wataitanaje?

Watoto watakaozaliwa hapa wataitanaje?

Wakuu

Mwanaume aliempa mimba mkewe, akafanya mapenzi na mama mkwe naye akashika ujauzito, akafanya mapenzi na shemeji yake( shem tamu) ambaye ni dada wa mkewe, naye akashika ujauzito, akafanya mapenzi tena na shemeji yake mwingine, ambaye ni Mdogo mtu ( shem nikune) ambaye ni WA mwisho kwenye familia ya mkewe, nikimanisha, mkewe ni mtoto wa pili, shem tamu wa kwanza na shem nikune WA mwisho..

Watoto watakaozaliwa hapa, wataitanaje?

Alamsik!
Filauni
 
Hii ni ndoto
Aisee amka

Utajikojolea
 
Anatako mweupe...
Oya ni mtoto wa kwanza wa mama mweny nyumba...
Oya unaambiwa ni single maza flan hv..

Juzi nahamia akawa ananichekea tu kwa jicho furani hivi nikabani nasmile nashangaa anasema chukua namba yangu nicheki
😂😂😂 Kwishhhhhhaaaa
 
Back
Top Bottom