Watoto wangu wananifilisi

Watoto wangu wananifilisi

Ni kweli. Ndio kosa tunalofanya siku hizi. Mwisho wa siku tunalea watoto wanaofikiria the whole world rotates around their feet. Watajikuta badala ya kufanya kazi kwa bidii wapate watakacho wanaishia kulalwa na bosi ili afanye short cut.

Sisi tulikuwa hatuchapwi, unapewa adhabu yenye manufaa. Utamsaida dada kuosha vyombo wiki nzima. Ilikuwa motivation kubwa ya kutokukosea, lakini pia kujifunza kazi.
Hahaaa umenikumbusha mbali.....

Ingawa nilikulia mwanza mjini lakini nyumbani kulikuwa na eneo la wastani la ziada hivyo, mama alikuwa akitengeneza chochote kizuri lakini huli hadi ulime matuta ya bustani .tulikuwa tunaona kama game fulani zuri hivi lakini nilipokua ndipo nilikuja kuelewa ni nini walikuwa wakimaanisha....

Malezi ya kiafrika yalikuwa mazuri
 
Nakasirishwa sana na hawa watoto, wa kwanza yupo form five, wa pili form two na watatu standard seven english medium. Yaani najitahidi sana kuwalipia ada na kweli naweza na nafrahi sababu ni vipanga kila nikangalia matokeo nafurahi sana.

Huyu wa form 5 ni dada ndie anaeongoza chati yani kila siku sababu zisizoisha wa pili ni dume yeye hanaga mambo mengi anataka pesa za kucheza games na mziki mkali akirudi, haka kadogo kakiume kanapenda hela za kula chipsi na mandazi, ni kweli walimu wameniambia kanajimwaga kweli.

Plz najitahidi wanangu wana malezi mema hawajawahi nikera ila wananipiga mzinga sana inafikia mahali nataman niwaambie live sipendi hio tabia ila nafsi inakuwa ngumu plz nipeni ushauri.
Bro jaribu kuwajenga watoto wako waweze kudhibit tamaa zao, sio kila wanachotaka lazima wapate..wape tu vitu vyenye umuhimu...

Pia jipe muda wa kuwa unaongea nao na kuwafundisha kuwa maisha ni shida na raha...na pia wajue kutambua tofauti ya mahitaji yenye umuhimu na yale ya ziada...Kuna leo na kesho Bro.

Vile vile nakushauri tu hasa kwa huyo mtoto wa kiume usimzoweshe maisha ya kike hayo ya kula kula hovyo hasa ma chips...

LEA WATOTO WAKO UNAVYOHISI INAPASWA WAKUE KIAFYA NA KIMAADILI, WEWE NI MLEZI, KIONGOZI NA MWALIMU KWAO!!!
 
Nakasirishwa sana na hawa watoto, wa kwanza yupo form five, wa pili form two na watatu standard seven english medium. Yaani najitahidi sana kuwalipia ada na kweli naweza na nafrahi sababu ni vipanga kila nikangalia matokeo nafurahi sana.

Huyu wa form 5 ni dada ndie anaeongoza chati yani kila siku sababu zisizoisha wa pili ni dume yeye hanaga mambo mengi anataka pesa za kucheza games na mziki mkali akirudi, haka kadogo kakiume kanapenda hela za kula chipsi na mandazi, ni kweli walimu wameniambia kanajimwaga kweli.

Plz najitahidi wanangu wana malezi mema hawajawahi nikera ila wananipiga mzinga sana inafikia mahali nataman niwaambie live sipendi hio tabia ila nafsi inakuwa ngumu plz nipeni ushauri.

WASIPOKULA VYAKO WALE VYA NANI?
 
Hao wa kiume soon utawaona Take One ya Cloud TV na seneta wao Kaoge.
 
Sasa unataka wampige nani mizinga?

Sijui wengine lakini mimi ikija kwa Kisura huwa nafanya kufuru.

Chochote atakacho anapata tu.

Ndo wajibu wangu huo na kamwe siwezi kulalamika.

Na furaha yake ndo faraja yangu.
Wafundishe kujitegemea na kusave pesa.
 
Tena watoto wa umri wakianza kujua pesa kama miaka 8 au wengine 10 unaanza hata kuwa fungulia akaunti benki wanajua pocket money inabidi iende huko...kufunza..mzazi mwenyewe utafufahia ukiona inajaa...pesa ndogo baada ya miaka inakuwa tamu na watoto unawafundisha kujua kana kusevu na kutumiaje...esp kama wanataka kitu kikubwa unasema si una pesa haya hiyo atoe kiasi fulani ajinunulie... kuna hiki na kile

Mengine ni kufanya ya kusubiri siku ya kuzaliwa hata kama miezi 11 bado atasubiri tu, huku mtu ukikazania masomo wasomeeeeeee.... Na sikukuu kama krismasi santa awaletee majonjo wanayomuomba...inafundiaha subira...

Ila ya pesa hakuna kuna ya hiki na hiki ya hicho hakuna...wakilia weee watanyamaza, watanuna ila faida mbeleni kubwa na nzuri maishani mwao...ni kwendana na kufunza mengi...
Inaoneka unauzoefu na hii ki2,ushauri mzuri
 
Namfundisha zaidi ya hayo!

Life skills siyo kujitegemea na kusevu pesa tu.
Kama wanafundishwa zaidi ya hayo, katika hayo ya zaidi, kuwa mambo ya dini? Je wanafanya ibada kanisani au msikitini?
 
Kama wanafundishwa zaidi ya hayo, katika hayo ya zaidi, kuwa mambo ya dini? Je wanafanya ibada kanisani au msikitini?

1] Aliyepo ni mmoja tu. Sina zaidi.

2] Suala la imani ya dini ni uamuzi wake. Mimi hilo kwangu halina umuhimu wala maana yoyote ile.
 
Kama unamudu kuwahudumia hakuna ubaya watoto wako wakifaidi pesa zako ila usiwazoeze mazingira kuwa pesa ndio kila kitu maana utawaharibu. Pamoja na kuwapa pesa,wafundishe stadi za maisha ili wayajue maisha black and white na sio kuishi katika bubble. Wasafirishe kijijini wakaishi na wazee,wajue wengine wanaishi vipi,wafundishe kusimamia biashara, kufanya kazi za nyumbani na hata kusaidia jamii iliyowazunguka. Wapatie majukumu yenye malengo fulani ya kufikiwa, wafundishe ufundi wa kuunda au kurekebisha vitu fulani vya nyumbani au vyombo vyako vya usafiri ili wawe na ujuzi fulani wa kimaisha,sio unakuwa na mtoto yuko form four hata kubadili tairi hawezi, kurekebisha kitasa hawezi na kupika ndio kabisa. Usiwalee watoto wakajiona wako special sana na tofauti na wanadamu wengine na utafurahi kuwa nao.
 
Back
Top Bottom