Watoto wanaotumika Kupokea Viongozi

Wanaweza kuwa ni watoto wa viongozi wenyewe. Hiyo ni kazi ya kitengo cha mapokezi na mafunzo ambapo mtoto kama huyo hufundishwa cha kufanya na hata lugha ya kuongea na mgeni. Kama ni kiingereza watatafuta katoto kanako shuka vizuri. Kama ni kifaransa au kichina hali kadhalika.
 
Hebu tujikite kwenye HOJA Wakuu, tuachane na MAHABA ya Serikali ama Chama.
 
Hivi hawa Watoto wanaotumika kupokea Viongozi mbalimbali wanatokea wapi? Ni watoto wa akina nani? Mchakato wa upatikanaji wao ukoje? Wanalipwa kiasi gani? Bajeti ya shughuli zao inasomeka wapi?

Swali fikirishi sana. Watu watakuja na majibu mengi tu ya kukukosoa, lakini ukweli ni kwamba jibu sahihi linahitajika maana sijawahi kusikia maombi ya kazi kwa watoto hao.
Nafikiri ni watoto wa wanye nafasi tu na si vinginevyo. Kwani yule mtoto wa Baba nanii na Mama nanii kule kijijini nani anayemfahamu?
 
Nahisi akiwa mkubwa atakua nae anachezea maeneo ya karibu ka yule Dada mkubwa pale pembeni.
 
Akifaham itamsaidia nini yeye binafsi? Kwamba itamuongezea pesa kwenye akaunti yake? Huoni kwamba nikukosa kazi za kufanya huko
Hapo utasema umejibu maswali yake mkuu?! Mbona maswali yake yako wazi wivu unatoka wapi tena mkuu?
 
Akifaham itamsaidia nini yeye binafsi? Kwamba itamuongezea pesa kwenye akaunti yake? Huoni kwamba nikukosa kazi za kufanya huko
Ni watoto wako ama wa ndugu zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…