π wakubwa wanafaidi mnooooπππView attachment 3566411
kwa kweli alf roll model wako ni nani kwenye kujifunza huo ukubwa ππNajifunza ukubwa π
Na wewe usituchoshe na hizo dad zako! Hivi ndivyo huwa vinaliwa kimasikhara na akina mzee Mshana!Ila Dad hehπ
umeniwahiπ€£, nilitaka niseme hivyo piaNikiwa mkubwa nami nataka nifaidiπ
π€£π€£π€£π€£π€£ nimechekaaaaa Hata najua basi hebu njoo upokee vidonge kwanzaNa wewe usituchoshe na hizo dad zako! Hivi ndivyo huwa vinaliwa kimasikhara na akina mzee Mshana!
Mtu akila uzao wake kuna shida yoyote utapata ?Na wewe usituchoshe na hizo dad zako! Hivi ndivyo huwa vinaliwa kimasikhara na akina mzee Mshana!
Nimevopokea binti tayaliπ€£π€£π€£π€£π€£ nimechekaaaaa Hata najua basi hebu njoo upokee vidonge kwanza
Hata sijui baado nafanya upekuziπββοΈkwa kweli alf roll model wako ni nani kwenye kujifunza huo ukubwa ππ
Hata kama uzee, ukikutana na kiumbe wa namna hii unakuwa kijana ghaflaπ
Mjukuu usikasirike, tunajaribu kukukuza taratibu ili ufikie panapotakiwa tuanze kula taratibu π π πMtu akila uzao wake kuna shida yoyote utapata ?
Tufanye basi nimeliwa kimasikhara
wewe uta athirika vp na uliwaji wangu?
Kwanini baadhi ya watu wa JF mna hasira kali?
Leave me alone ndugu Manjagata
Ukiona na kuchosha ignore meπ€
Babu kwanini watu wengi wanawatania sana tena wengiiiMjukuu usikasirike, tunajaribu kukukuza taratibu ili ufikie panapotakiwa tuanze kula taratibu π π π
Hawataki wazee tuenjoy na vibinti vibichi, tunasakamwa sana sisi wazee!!Babu kwanini watu wengi wanawatania sana tena wengiii
Mie nikitaniana na nyie wananipandia juu shida nini?π€
sijafurahi udugu ila nimeshangaa hilo povu limetoka wapi? unajua mimi napenda kucheka hata nikiwa na hasiraπͺπ,, nikasema nikuite uje umjibu mwenyewNimevopokea binti tayali
Asante kwa tarifa
So na wewe umefurahi mimi kuambiwa hivyo?
Hakunaaa washindweeeππHawataki wazee tuenjoy na vibinti vibichi, tunasakamwa sana sisi wazee!!
umeandika kwa uchungu sana,,, polee jamni uwe unanitania mimi pekeangu ndo sina mtu,, hao wengine ni watu wa watu, utapigwaaaaπ π π πBabu kwanini watu wengi wanawatania sana tena wengiii
Mie nikitaniana na nyie wananipandia juu shida nini?π€
Hakunaaaaa unanisalitisijafurahi udugu ila nimeshangaa hilo povu limetoka wapi? unajua mimi napenda kucheka hata nikiwa na hasiraπͺπ,, nikasema nikuite uje umjibu mwenyew
alf kwanini umenifanya nijieleze hivi? ππ
wazee mnatoa princess treatment mpka vibinti vibichi vinapagawa lolπ πHawataki wazee tuenjoy na vibinti vibichi, tunasakamwa sana sisi wazee!!
Bhana mi staki nataka kuwatania hao hao wazeeπππ wewe mdogo nakutaniaje sasaumeandika kwa uchungu sana,,, polee jamni uwe unanitania mimi pekeangu ndo sina mtu,, hao wengine ni watu wa watu, utapigwaaaaπ π π π
kwa jina lingine umeniita yuda si ndio mwanetuπHakunaaaaa unanisaliti