Nikumbushe kesho au chukua Vicks kingo kisha sugua taratibu nyuma ya sikio kwenye mshipa wa fahamu ulioko shingoniDady we acha tu
Siri ya mtungi.......
Hivi dawa za usingizi naweza kupata wap nilienda duka la dawa nikaambiwa mpka cheti cha daktari
Jitupie kwenye maji baridiDady we acha tu
Siri ya mtungi.......
Hivi dawa za usingizi naweza kupata wap nilienda duka la dawa nikaambiwa mpka cheti cha daktari
Ulitaka kusemaaaaa 😎 🤣🤣🤣Hahahaha.... Kwani!?... Au basi,🙌🏿
Got it, Dad🫡Dad is watching (you)
Nitakukumbusha keshoNikumbushe kesho au chukua Vicks kingo kisha sugua taratibu nyuma ya sikio kwenye mshipa wa fahamu ulioko shingoni
⛏️🛠️⚒️🔨 Yangekuwa mabaya ningekujia hivyo 🤣Au basi...!😎
Maji baridi kwa kiwango gani?JJi
Jitupie kwenye maji baridi
Shem unawekewa picha hapo
Ewaa unakichwa chepesi ile mbaya hakikisha ni baridi hadi yanafuka kimoshi moshi 😎Maji baridi kwa kiwango gani?
Na hiyo kujitupia yaan unamaanisha
Niyatege sehemu then nijitupie shwaa?
Shem, sasa hv nna mkeShem unawekewa picha hapo
Zitakusaidia kwa shughuli yako pendwa
Ila Dad heh😁This moment!