Watoto wakifika 20+ inabidi ubadilike

Watoto wakifika 20+ inabidi ubadilike

Ni kweli inauma sana kuona mama hajatulia na kujiheshimu akiwa na watoto wakubwa. Hili jambo yapaswa walitambue mapema na si kusema nitaishije peke yangu.
 
Unafkr ni Kama huko kwenye NDOA tu?
Hata kama upo nayo kipenzi!!

Watoto wakishafika hii age au kuikaribia,
Hata mume na mke inapasa kubadilika!!.
Ndicho kipindi watoto wanaweza kutafsiri na kwa kiutuuzima kuwa Nina WAZAZI wenye mahusiano ya aina hii!!
Babangu ni KIMEO!!
Mamangu ni MWEHU!!
or the vice versa!!.

Ndicho kipindi watoto wanachagua Aina ya mahusiano kupitia wanachokiona kwenu!!
THAT NATAKA KUWA NA NDOA YA KAMA BABA NA MAMA!!
SITAKI KUOLEWA NA MWANAUME KAMA BABA!!
SITAOA MWANAMKE ANITESE KAMA ANAVYOTESEKA BABANGU!!
KAMA NDOA NDIO HIVI,MIMI SITAOA AU KUOLEWA!!
KAMA WANAUME NDIO HAWA,AAAH NAOLEWA HATA KESHO!!

it's way too tricky!!
but all in all WATOTO WAKISHAANZA KUPIGA KURA AISEE KUNA VITU TU HUNA NAMNA KUVIBADILI!!

HATA IDADI YA BEER!!
inatakiwa kupungua!!
cc Asprin et al
 
Kama huko kwenye ndoa na unawatoto wa 20+ inabidi uwe na msimamo. Hapa vijana wa kiume wanaanza kuwa na wivu kama mama anadate mtu ambae si Baba yao.Kama hujatulia unaweza kuchanganya madanga na binti zako.

Kama ulifiwa, uliachwa au ulikuwa single parent. Huu ni muda wa kumrudia Mungu.
Umenena kweli nina experience hiyo baada ya ku-date na ki-Binti kimoja hiviii... Enzi hizo... Mama naye akaingilia kati.
 
Unafkr ni Kama huko kwenye NDOA tu?
Hata kama upo nayo kipenzi!!

Watoto wakishafika hii age au kuikaribia,
Hata mume na mke inapasa kubadilika!!.
Ndicho kipindi watoto wanaweza kutafsiri na kwa kiutuuzima kuwa Nina WAZAZI wenye mahusiano ya aina hii!!
Babangu ni KIMEO!!
Mamangu ni MWEHU!!
or the vice versa!!.

Ndicho kipindi watoto wanachagua Aina ya mahusiano kupitia wanachokiona kwenu!!
THAT NATAKA KUWA NA NDOA YA KAMA BABA NA MAMA!!
SITAKI KUOLEWA NA MWANAUME KAMA BABA!!
SITAOA MWANAMKE ANITESE KAMA ANAVYOTESEKA BABANGU!!
KAMA NDOA NDIO HIVI,MIMI SITAOA AU KUOLEWA!!
KAMA WANAUME NDIO HAWA,AAAH NAOLEWA HATA KESHO!!

it's way too tricky!!
but all in all WATOTO WAKISHAANZA KUPIGA KURA AISEE KUNA VITU TU HUNA NAMNA KUVIBADILI!!

HATA IDADI YA BEER!!
inatakiwa kupungua!!
cc Asprin et al
Mkuu umenena na hapo kama bado mnaishi kwenye nyumba ya kupanga wanaanza ku reflect via anazokunywa baba na bei ya kiwanja.
 
Uko sawa kabisa bibi. Sio Mama miaka 50 anadanga na watoto nao wanadanga. Baba miaka 50 bado anakbizana na vibinti ambavyo mwanae nae anafukizia hapo.

Kuna rafiki angu MTU mzima alinipa story yake na mwanae. Walikua na party kwake mwanae akaja na kabinti ila akamwambia baba ni rafiki ake tu. Baba si akaanza kapigia misele. Kumbe mwanae nae anafukuzia. Katika kumfuatilia zaidi akagundua yule binri mama ake ni mwanamke wake wa zamani.
Akaniambia S nahisi natakiwa niache umalaya sasa ntashea wanawake na mwanangu maana ndiko ninakoelekea na mwanangu nae kachukja umalaya wangu
 
Parenting is about sacrifice, you devote your life raising the kid. The devotion never end till the day you die.

If one doesn't want that devotion then should never allow hi sperm / her ovals to be fertile.

Kudos to all parents.

Kasie Kigagula.
 
It’s much easier when they are young, you just have to worry about food, clothes, shelter, child care and toys. As they older the emotional demands increases. Getting a phone call in the middle of night “ my car is being clamped down mama’ or he is in hospital after a fight in a night club.
Big salute to all parents out there.
 
Sjakuelewa mama unamaanisha waachane huyo mama halisi na mwanaume ambaye ni wa kujishikiza au kumrudia Mungu kivipi
 
Back
Top Bottom