Watoto wa wazaramo hawafanani, utafiti

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
647
350
Nimetoka Masasi Mtwara jana, leo nipo Mkuranga mkoa wa pwani. Kisa cha kushangaza, familia ya wenyeji wangu watoto wao awafanani, wapo 5. Moja mrefu, wawili wafupi, wawili wa Wastani, rangi zao wengine azipo kwa baba wala mama. Katika kudadisi kwa utafiti, nikajulishwa kuwa watoto wa waazaramo awafanani. Chanzo cha matatizo hayo ni ngoma za mila na desturi. Leo Mr Msandawe nipo njiani naelekea arusha. Kama nitalala Tanga nitawajuza maajabu ya Tanga Kesho. Siku njema wana JF
 
Kumbe kuna wengine wanafanana Mr. Msandawe!!!
Tunasubiri wa TANGA!!! Safari njema.

Nimetoka Masasi Mtwara jana, leo nipo Mkuranga mkoa wa pwani. Kisa cha kushangaza, familia ya wenyeji wangu watoto wao awafanani, wapo 5. Moja mrefu, wawili wafupi, wawili wa Wastani, rangi zao wengine azipo kwa baba wala mama. Katika kudadisi kwa utafiti, nikajulishwa kuwa watoto wa waazaramo awafanani. Chanzo cha matatizo hayo ni ngoma za mila na desturi. Leo Mr Msandawe nipo njiani naelekea arusha. Kama nitalala Tanga nitawajuza majabu ya Tanga Kesho. Siku njema wana JF
 
Mie kwetu Rukwa sijui utakwenda lini??? Na ukija usisahau kunitumia PM nikuonyeshe pakuanzia
 
Mie kwetu Rukwa sijui utakwenda lini??? Na ukija usisahau kunitumia PM nikuonyeshe pakuanzia

Rukwa bado sana, pindi nikitoka kigoma nitakula boda la huko. Nataka nifike kipindi cha radi za mchana ili nizishuudie kwa macho yangu. Pamoja na ule uchawi wenu wa mamba, wa nchi kavu niwaone
 
Kila la kheri katika utafiti wako. Lakini usisahau kutoa suluhisho baada ya kuchonganisha familia
 
Harusi za Kizaramo

images

End product

images

people12_500x312.jpg
 
Nimetoka Masasi Mtwara jana, leo nipo Mkuranga mkoa wa pwani. Kisa cha kushangaza, familia ya wenyeji wangu watoto wao awafanani, wapo 5. Moja mrefu, wawili wafupi, wawili wa Wastani, rangi zao wengine azipo kwa baba wala mama. Katika kudadisi kwa utafiti, nikajulishwa kuwa watoto wa waazaramo awafanani. Chanzo cha matatizo hayo ni ngoma za mila na desturi. Leo Mr Msandawe nipo njiani naelekea arusha. Kama nitalala Tanga nitawajuza maajabu ya Tanga Kesho. Siku njema wana JF

Mimi kwetu kwa mtoro pale njia panda ya kwenda singida na kondoa vipi watu wa Kwamtoro au hujawahi kufika? au pengine umeshawahi ila hujawafanyia utafiti?
 
Tuache hii tabia ya kabila moja kujiona bora kuliko jengine.

Kama Wazaramo wanafanya harusi za ngoma na kuzaa watoto tele, si tuwaachie wenyewe. Why do we have to care?
 
Tuache hii tabia ya kabila moja kujiona bora kuliko jengine.

Kama Wazaramo wanafanya harusi za ngoma na kuzaa watoto tele, si tuwaachie wenyewe. Why do we have to care?

@ Gaijin sidhani ni isuue ya ukabila hapa, ni faithfulness kwenye ndoa ndio mleta mada anasisitiza hapa. ukiangalia kwa mapana kuna issue za magonjwa ambukizi na morals pia.
 
@ Gaijin sidhani ni isuue ya ukabila hapa, ni faithfulness kwenye ndoa ndio mleta mada anasisitiza hapa. ukiangalia kwa mapana kuna issue za magonjwa ambukizi na morals pia.

Wewe picha ulizoweka zilikuwa na lengo gani?

Kimtazamo wako suala la kuwa faithful kwenye ndoa linawahusu Wazaramo tu? Hayo magonjwa wanapata wao tu?

Mtoa mada might have had a good point lakini picha zako zimekwenda out of point. Wanaofanya ngoma harusini ni Wazaramo tu?

Na ngoma harusini ina uhusiano gani na watoto kuwa Wa baba tofauti?
 
@ Gaijin sidhani ni isuue ya ukabila hapa, ni faithfulness kwenye ndoa ndio mleta mada anasisitiza hapa. ukiangalia kwa mapana kuna issue za magonjwa ambukizi na morals pia.

Kwa hiyo Mkuu hilo tatizo la kutokuwa faithful kwenye ndoa wazaramo tu ndio wanalo???
 
Back
Top Bottom