Watuonyeshe matangazo, idadi ya walioomba, panel ya interview na minutes za interview sio hizo longolongo sijui wana qualify haiwezi kuwa bu coincidence hizi surnames Mkapa, Mwinyi, Lowassa, Sumaye et al kuwa katika sehemu moja ya kazi.
Hili sio tatizo la hao watoto ni tatizo la menejiment ya BOT, period!
Ukweli ni mchungu kwenye hili, hao watoto wa vigogo wana nafasi kubwa ya kusoma vizuri kuliko watoto wa maskini. Kuna uwezekano mkubwa kwamba wana qualifications za kutosha lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba huenda waliingia pale kwa migongo ya wazazi wao.
Kuna wananchi chungu nzima wenye qualifications kama za kwao lakini iweje karibu kila kiongozi awe na mtoto wake BOT?
Uchunguzi unakuwa halali kama unajua unachochunguza, kuchunguza qualifications bila kuangalia ni wangapi wengine waliomba na ambao walikuwa na qualifications kama za kwao ni kupoteza muda tu.
Hapo tumefungwa goli lingine na pesa kibao zimetumika.
Okay bro, hapa nimekuelewa, kwamba tatizo ni kuna wasi wasi na njia zilizotumika kuwaajiri kama ni za halali, lakini hakuna concrete ushahidi kwamba walaijiriwa kwa ujanja au kwa sababu ya nafasi ya baba zao,
Until hili limechunguzwa na kuwepo kwa ushahidi kwamba kuna kasoro na ajira zao, tuwaache wafanye kazi zao badala ya hizi hukumu, kwa sababu bila ushahidi au dataz inakua ni chuki kwa kikundi flani katika jamii, that is against the law of our land! au?
Kwahiyo hata EPA sio tatizo la yale makampuni 22, ni tatizo la management ya BOT kwi kwi kwi!!!
Kwa vile BOT sio kampuni binafsi, ushahidi wa jinsi walivyoajiriwa hao vijana ukitakiwa hautachukua zaidi ya hata 2hrs kuupata, kama wanataka. Records za BOT zinatakiwa ziwe na tangazo la kazi, walioomba kazi, waliokuwa-short listed, criteria za kuchagua, scores za hao waliokuwa short-listed na hatimaye waliochaguliwa n.k., n.k.
Hapa nafikiri ndio anapokwepa Gavana maana akienda huko, sio tu kuwa hao vijana watakosa ajira, bali pia wale waliowaajiri nao pia itabidi vibarua viyeyuke. Hapa ndio pagumu na sio huko walikopitia kwenye kuhakiki CVs.
Tutafute ushahidi wa ku-back up our suspicions, kama hatuna tukubali yaishe badala ya kutema sumu, EPA iko wazi kwamba ni wizi umefanyika na ushahidi upo,
kwenye hili hatuna ushahidi kama mnao uwekeni hapa tuwashughulikie!
Mkapa, Mwinyi, Sumaye, Lowassa, Kawawa, Lumbanga, Nchimbi, Mahita, Kigoda, Kamba, Mungai yaani wote hawa wamejikuta BOT kwasababu walikuwa na uwezo mkubwa kuliko wengine?
You must be dreamer kama unaamini hivyo. Si watoe hiyo kazi ya kuchunguza kwa tume huru? Tutapata majibu yake mara moja.
Mkuu Mtanzania,
Kwa nini unakataa ukweli kwamba huna ushahidi wa faulo katika ajira za hao watoto, eti unashangaa wamejiuktaje huko BOT, mbona hushangai baba zao wamejikutaje kwenye uongozi siasa, kwani wao peke yao ndio wenye sifa za uongozi Tanzania kuliko wananchi wote millioni 40?
Hivi hao watoto wangekua shirika gani kwa standard zako ingekua ni halali, bila hata ushahidi? Kuna ishus zinahitaji concrete facts au dataz hii ni moja wapo, acha ubaguzi bro Tanzania ni taifa la kila mwananchi kufanya kazi popote pale bila kuvunja sheria, kuwa mtoto wa kiongozi sio dhambi as of your thinking,
Lete ushahidi au dataz kuwa waliajiriwa kwa faulo, kama hakuna kubali yaishe mkuu!
...Tunachopinga wengine ni huu udanganyifu wa kwamba eti wote waliajiriwa hapo kwasababu ya uwezo wao au qualifications zao.
Hata wanaoajiriwa kwa vimemo bado wana qualifications zao, kilichotakiwa kuchunguzwa ni transparency kwenye hizo ajira zote kati ya 2000 na 2007.
Tunachopinga wengine ni huu udanganyifu wa kwamba eti wote waliajiriwa hapo kwasababu ya uwezo wao au qualifications zao.
Hata wanaoajiriwa kwa vimemo bado wana qualifications zao, kilichotakiwa kuchunguzwa ni transparency kwenye hizo ajira zote kati ya 2000 na 2007.
Mkuu Mtanzania,
Kwa nini unakataa ukweli kwamba huna ushahidi wa faulo katika ajira za hao watoto, eti unashangaa wamejiuktaje huko BOT, mbona hushangai baba zao wamejikutaje kwenye uongozi siasa, kwani wao peke yao ndio wenye sifa za uongozi Tanzania kuliko wananchi wote millioni 40?
Hivi hao watoto wangekua shirika gani kwa standard zako ingekua ni halali, bila hata ushahidi? Kuna ishus zinahitaji concrete facts au dataz hii ni moja wapo, acha ubaguzi bro Tanzania ni taifa la kila mwananchi kufanya kazi popote pale bila kuvunja sheria, kuwa mtoto wa kiongozi sio dhambi as of your thinking,
Lete ushahidi au dataz kuwa waliajiriwa kwa faulo, kama hakuna kubali yaishe mkuu!
Kwani baba zao walikuwa vigogo kabla ya wao wote kuwa vingozi wa kisiasa kati ya wananchi milioni 40??????
Mkuu Mtanzania,
Hapa ninashindwa kuamini, kwamba wewe bingwa wa kudai ukweli hapa uko radhi kushusha standards zako na kuhukumu watoto wa viongozi bila facts,
Ndulu aliombwa kuchunguza nini? Na aliombwa na nani? Kushindwa kwa Ndulu kufanya uchugnuzi unaoutaka sio kosa la hao vijana, huwezi kua right 100% wakati huna ukweli wa tofauti na uchunguzi wa Ndulu, Unasemaje unapinga udanganyifu wakati huna facts za ku-prove point yako bro?
Watoto wa vigogo wapo foreign pia, wapo kwenye mashirika mengi mapya ya private, ni haki yao kufanya kazi kisheria kama ilivyo yako na yangu, lakini huwezi kulazimisha guil;t on thier part kwa kuajiriwa BOT, unless unao ushahidi wa kutosha wkamba walipoajiriwa kulikuwa na kukiukwa kwa sheria za kazi huko bila huo uthibitisho mkuu ninaona ni wivu na chuki against wananchi wenzetu wka sababu ni watoto wa viongozi!
TrueKwenye research kuna kitu kinaitwa garbage in garbage out. Ukiingiza data fake unapata report fake. Sasa kama waliamua kuchunguza basi wangechunguza process nzima ya hao vijana kuajiriwa na sio qualifications tu.
.
wengi watakuwa wameajiriwa kwa basic entries ammbao si watoto wa kigogo wala nini. tatizo ni kuwa hatutaki kuface reality that anyone can be employed at BOT if that person has the required qualifications. na ktk kipindi cha 2000-2007 wameajiriwa wengi sana ukiachia hao wachache mnaowalalamikia. na je overall hao ni perecntage ngapi ya wafanyakazi wote wa BOT? kwani wao wana hitilafu gani wasiajiriwe hapo????Watu dunia hii hawaajiriwi kwa basic entries, hizo basic entries zinakusaidia tu kukufikisha kwenye interviews za maana. Sawa walikuwa na basic entries, je baada ya hapo? Ina maana wote waliokuwa na basic entries waliajiriwa BOT?
.
Kwenye hii taarifa prof. Ndullu anaongelea vijana 18 wakati ukweli ni vijana 26 kwasababu wanane walishachukuliwa hatua. Hivyo namba sahihi ya watoto wa vigogo ilikuwa at least 26 na sio 18.
Hapo ndipo unapokosea, wapi mimi nimewalaumu hao vijana moja kwa moja? Mimi napinga uchunguzi uliofanya na BOT kwamba ulikuwa ni udanganyifu.
Mkuu unalaumu uchunguzi ambao huna ukweli wake? How? Wewe mwenyewe siku zote ndiye bingwa wa ukweli unataka ukweli, sasa hapa unalaumu vipi na huku huna ukweli?
So far unarusha assumptions zako ambazo ni logic tupu zisizo na ukweli, lakini unalzimisha kuwa ni ukweli, WHY? Ndulu amefanya uchunguzi sasa na wewe tuletee uchunguzi wako na ukweli ulioupata, waache vijana wafanye kazi bro hizi chuki na wivu wa binafsi hauwezi kutusaidia wa-Tanzania,
Ninarudia tena hizi zako naziona kama ni chuki za binafsi against watoto wa viongozi na that is wrong, na wao ni binadamu kama wewe na wana haki zote ndani ya tiafa letu kama wewe, please kama huna ushahidi huna sababu ya kumshambulia mtu yoyote! Kuazliwa mtoto wa kiongozi sio dhambi au death sentence! Ahsante za kupewa na mtu mmoja sio validility ya kuwa na hoja, lete ushahidi kua Ndulu amedanganya kama huna kubali yaishe