Watoto wa siku hizi....

Nawewe uko ivo kumbe
Jamani. ... huu sio uhalisia wangu. ..maandishi ya Jf yasikufanye unihukumu tofauti. .Kuna maisha mengine kabisa nje ya Jf ambayo yapo tofauti na fake life ya humu
 
Mmh sio kazi bwana. ... !! Utamuachisha vipi kazi mtu ambaye hajakufanyia Ubaya wa aina yoyote. .... mkuu '' Hiyo ni zaidi ya dhambi
Kwamba nimtafune halafu nimfukuze kazi? Kumbe na wewe mkatili hivi
 
Hahahaaa
 
Jamani. ... huu sio uhalisia wangu. ..maandishi ya Jf yasikufanye unihukumu tofauti. .Kuna maisha mengine kabisa nje ya Jf ambayo yapo tofauti na fake life ya humu
Kwahio ulikuwa unanipeleka chaka?!
 
Mmh sio kazi bwana. ... !! Utamuachisha vipi kazi mtu ambaye hajakufanyia Ubaya wa aina yoyote. .... mkuu '' Hiyo ni zaidi ya dhambi
Sasa kumtafuna na kumpiga chini maanake nini? Nikimtafuna si ndio nimetimiza lengo lake, na ataomba kulala kabisa?!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…