Watoto wa siku hizi....

Angekuwa suitable candidate tusingekuwa tunajadili hii mada
kaitishe kikao kimoja kikali kachague kazi au mapenzi kakisema mapenzi kaambie kaende kwa visuka nywere πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha kumpotosha mwenzako kupata msaidizi wa kazi kama huyo aliye nae kwa sasa atasota hadi akae hapo chini bahati haiji mara mbili acha aichezee atajua mwenyewe!
Ni kweli, si rahisi kupata mtu na huyu kaja kum-replace dada yake
 
Nikikufuma na mdogo wangu utajuta.
 
Hizi opportunities huwa zinanitokea rarely sana ila huwa nazitumia effectively kweli kweli.
 
Mnatuharibia wadogo zetu
Miaka 20 ni binti mkubwa..ana hips kama zote, makalio kama yoye, nyonyo kaka zote.....yaani ile shape ya kichokozi imeshakuja. ....

Kwa nini tusijilie polepole, then tushushie na coke ya baridi..?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
PRONDO siyo mpika supu ni mpika chapati.
 
Kama unatumia kilevi ipo siku utashtuka tayari maana kwa speed hiyo lazima awe winner
 
na hapo bado hujui is it crush is it love or she is just obsessed with me muonye tu mkuu kama ni crush itaisha over time na kutakuwa na amani tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…