Watoto wa siku hizi wakikusalimia umeumia..!!

Wakikuamkia ujue lazma watakuchomekea inshu! Utadhani wametumwa! Mi wale wa junction ya morroko ndo wananiudhi mpaka basi, unastukia tu washavamia kioo cha mbele cha gari wanakiosha, ukiwafukuza wanavizia wakati taa zimeruhusu wanamwagia kioo maji ya povu, inakubidi uwashe wipers ndo uone fresh! Noma sana hawa!
Wapo wanaomwaga maji kwenye kio cha mbele na kuinua waipa.
 
Mi nikiamkiwa shikamoo na chokoraa huwa namjibu marhabaa lakini sina hela, unaona ghafla anapoteza pozi.
 
afu na wewe ulipotelea wapi?
Au miaka 50 ya uhuru imekukip bize?
Nilikuona unapita na lile dege la orange ana pink duh wig lako zuri kweli, ulipendeza.

Afu yule assistant wako ntamwomba sh.50 basi

shkamoo kaka..
Nikutoe out....??
 
Sijui hata hii tabia wameiga wapi. utasikia shikamoo kaka...naomba shilling mia. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba uninunulie chips mayai. Mwingine tena shikamoo kaka naomba uninunulie soda baridi. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba namba yako ya simu. Yaani kila sehemu utadhani wamefundishana. Mia

Wanajifunza kwa baba na babu zao, ndio omba omba wakongwe!, nao utasikia "..shikamoo bush, tunaomba net.., shikamoo Cameron, tunaomba namba ya simu''
 
hao wanaoomba namba ya simu watakuwa watoto wakubwa wazuri.
 
Vinakera sana hivyo vitoto....kuna siku nipo kwa daladala pale faya kikaja kimoja 'shikamoo mjomba naomba msaada' nikakipa jero mara na kingine kikaja gafla eti 'kaka na mm naomba hela nikale' nikakiambia sina tena kikamaindi kikapiga kioo na kunitemea mate....kudadadeki nilipata moto nikamwamuru dereva asimamishe gari nikakafukuza nikakashika na kumpakia humo ktk daladala gonga sana makonzi toka faya nilienda kukashusha bamaga...tena baada ya abiria kunisihi sana kwamba adhabu imemtosha......ningeenda kukala kiboga pumbaf sana....mara zote huwa sipendi dharau..
 
Namna hiyo mkuu, ungekavunja mguu tu...hakina adabu
 
jana kuna mmoja yani kakutana na mimi nilikua na baby wangu... dogo ile shkamoo..! yani kusema marahaba tuuuu..! dogo naomba miambili nikanywe chai..! daah asee hawa madogo siku hizi ni balaa yani..!
 
Back
Top Bottom