Watoto wa rafiki wa mke wangu ni wangu, nawahitaji

Halafu unajiona Mjanja kuleta Huu Upumbavu huku, Mark my words, kabala ya Kukatiza 2012 lazima kuna wanaume watakuwa wamekuhemea Mgongoni mwako na kula Kiboga , Just the matter of time

Acha matusi hayo wewe! Kama huna ushauri nyamaza. Soma hii hapa
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/356605-wanawake-tumezidisha-mechi-za-nje.html
 
Sasa inamaana haya makubaliano pamoja na ushahidi wa vinasaba hautanisaidia? Sawa naweza kumezea ila nisaidie kwa swali hili la ushahidi nilionao

Kama nilivyosema hapo mwanzo, kama hawa watoto amewazaa ndani ya ndoa, basi huo ushahidi na akina vinasaba
havitasaidia chochote!
La kama aliwazaa wakati bado hawajaoana na huyo mumewe basi vinaweza kusaidia, ila bado kashi2 utazipata tuu!
 
Sawa, watoto hawana shida kule, lakini wanatumia jina la ukoo wa jamaa! Nataka watumia jina laungu na hili linawezekana wakija kwenye himaya yangu tu.
Mimi nina kushauri kabla hujaamua kwenda mahakamani kudai hao watoto wako ni vyema ukaenda kwa mtaalamu wa saikolojia akuambia possible behavioral maladaptation watoto watazipata baada ya hiyo stress/transformation utakayowapa.
Maana usije ukaona watoto wapo health physically and socially ukadhani utaweza kuwamudu wanaweza wakabadilika wakawa na tabia za ajabu halafu ukalalamika baadaye kumbe kuwa kule walipo mwanzo it was better for their psychosocial welbeing.
Usikurupuke hapo unacheza na destiny za watu including your loving children....usicheze na traumatic stress during childhood. Asikuambie mtu hamna mtoto anayeweza kuhandle vyema, usishangae watu ni walevi kupindukia, changudoa, mashoga, viburi kupindukia/hawaelezeki, makatili n.k sio wote wamependa ila ni hizi hizi traumatic stress na nyingi ni za utoto.
 
Ndugu, kweli mwenzenu ni na shida na sijui zitaishaje. Juzi tu nilikuwa na tatizo la mke wangu na bado halijakwisha. Likaja hili la GF wangu wa zamani. Lakini, ninao watoto wawili nje ya ndoa kutoka kwa rafiki wa mke wangu. Mmoja ni mtoto wa kike (7 yrs) na mwingine wa kiume (4yrs). Rafiki wa mke wangu ambaye bado ana urafiki na mke wangu, alinililia sana baada ya kukaa miaka 2 bila kupata watoto kwamba wasingeweza kupata mtoto. Baada ya kudhibitika kwamba yeye hakuwa na tatizo la kupata watoto na mme wake ndo mwenye matatizo, aliniomba nizae nae watoto. Mimi niliyaweka kwenye maandishi na yeye akakubali kutia sahihi. Watoto hawa ni wazuri na wana afya njema, jamaa hajui lolote na anawapenda sana watoto hawa. Lakini ili niweze kuwalea watoto wangu vizuri, nimeona sasa wakati umefika niwachukue watoto wangu kwa vile tayali ninaushahidi wa kutosha kwamba ni wangu vikiwepo na vipimo vya vinasaba.

Lakini wasiwasi wangu ni kwamba yule ni mke halali wa mtu! Kisheria, japo sio kosa la jinai kuzaa na mke wa mtu, ni kosa la kawaida ambapo naweza kulipa fidia kubwa sana na pengine kutenganisha hata ndoa yao. Mke anataka nimpatie mtoto wa tatu kutokana na mme wake kuhitaji mtoto wa tatu. Sasa nifanyeje jamani? Nisaidie jamani nifanyeje? Mi nataka watoto wangu na sitaki tena kumpatia mtoto mwingine.
Sasa Wiyelele hapo sikuelewi kabisa. Una mkeo ambaye humpendi na unataka kumwacha kwa ajili ya upendo wako na HG. Umezaa naye watoto nani atawalea ukimfukuza? Pili, ukizaa na HG naye si utamtelekeza? Hapo tena umezaa na mke wa mtu..uchukue watoto si unataka kuvunja ndoa ya huyo mama? Sitashangaa kusikia una watoto 100 kwa wake tofauti tofauti. Zingatia ushauri wa lara1 usije ukatutoka mapema humu JF.

mmmh!!!hii issue nzito,angalia msije anza kuwindana na jamaa!!issue ni nzito na anaweza mtu au watu kupoteza maisha!!!
 
Nimewakumbuka sana James Hadley Chase (RIP), John Grisham, Robert Lundlum na Sydney Sheldon (RIP). Mkuu Arushaone, Kaunga, King'asti, gfsonwin Kaizer na sun wu wanaujua umahiri wa utunzi wa hawa watu. Wasingeweza andika fiction yenye kuacha mashaka ya kiwango hiki kwenye hii hadisi hadisi njoo utamu kolea...
Asprin nafikiri unamjua vyema Danielle steel kwa kupenda kuwa na characters ambao ni wanawake, nafikiri hii fix angepewa basi angekata kabisa kiu yangu ya usomaji wa fiction lol manake tayari anayemuhusika mdada humu lol!
 
Last edited by a moderator:
Duh dhambi unaijazia mkataba na kuitilia sahihi kabisa aisee! kesho likimtokea binti yako utakujalalamika?
pole kusema ukweli hata kama utakujaenda mahakamani na kuonyesha huo mkataba ambao siamini kama una clause ya lini utachukua watoto wako kwa sababu lengo lilikuwa ni kum'saidia' hiyo familia kupata watoto na si kuwaazima watoto wakae nao kwa muda. Unawezaponyoka kwenye kipengele cha vinasaba yes but kwa nini ukazae na mke wa mtu? Kitanda hakizai haramu na kuwa baba ni kulea si kutia mbegu na kusepa.
 
Me feel ya.
 
Me feel ya.

Inasikitisha sana Babu Bigirita vile watu tunavyokiri udhaifu na kumpatia nguvu shetani. Huyu mpendwa anakiri kuzini na mke wa mtu (hapa ashatenda mawili walitamaniana na kisha wakazini) mpaka wakazalishana. Na kana kwamba kuomba msamaha tu na kusamehe haiwezekani anataka kwenda mahakamani kudai watoto hao. Eh Mungu uturehemu sisi sote tu wakosaji.
 
"Mbona utakunya mwaka huu na ujao"

:violin::drum:

WIYELELE LELEEEE.....:clap2:HAHA...AAAAA......LELE LELEEEEE,

WIIIIYE.........LELE LELEEEE........:clap2:HAHA-WIYE LELE LELEEE

:dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance:
 
Ndugu, kweli mwenzenu ni na shida na sijui zitaishaje. Juzi tu nilikuwa na tatizo la mke wangu na bado halijakwisha. Likaja hili la GF wangu wa zamani. Lakini, ninao watoto wawili nje ya ndoa kutoka kwa rafiki wa mke wangu. Mmoja ni mtoto wa kike (7 yrs) na mwingine wa kiume (4yrs). Rafiki wa mke wangu ambaye bado ana urafiki na mke wangu, alinililia sana baada ya kukaa miaka 2 bila kupata watoto kwamba wasingeweza kupata mtoto. Baada ya kudhibitika kwamba yeye hakuwa na tatizo la kupata watoto na mme wake ndo mwenye matatizo, aliniomba nizae nae watoto. Mimi niliyaweka kwenye maandishi na yeye akakubali kutia sahihi. Watoto hawa ni wazuri na wana afya njema, jamaa hajui lolote na anawapenda sana watoto hawa. Lakini ili niweze kuwalea watoto wangu vizuri, nimeona sasa wakati umefika niwachukue watoto wangu kwa vile tayali ninaushahidi wa kutosha kwamba ni wangu vikiwepo na vipimo vya vinasaba.

Lakini wasiwasi wangu ni kwamba yule ni mke halali wa mtu! Kisheria, japo sio kosa la jinai kuzaa na mke wa mtu, ni kosa la kawaida ambapo naweza kulipa fidia kubwa sana na pengine kutenganisha hata ndoa yao. Mke anataka nimpatie mtoto wa tatu kutokana na mme wake kuhitaji mtoto wa tatu. Sasa nifanyeje jamani? Nisaidie jamani nifanyeje? Mi nataka watoto wangu na sitaki tena kumpatia mtoto mwingine.

Kwani hao watoto huwezi kuwapata kwa mke wako wa ndoa au hawakutoshi mkuu? Ila angalia sana hilo ni jambo hatari sana!
 
:violin::drum:

WIYELELE LELEEEE.....:clap2:HAHA...AAAAA......LELE LELEEEEE,

WIIIIYE.........LELE LELEEEE........:clap2:HAHA-WIYE LELE LELEEE

:dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance:

Mkuu hapa unamfagilia WIYELELE au?
 
Inasikitisha sana Babu Bigirita vile watu tunavyokiri udhaifu na kumpatia nguvu shetani. Huyu mpendwa anakiri kuzini na mke wa mtu (hapa ashatenda mawili walitamaniana na kisha wakazini) mpaka wakazalishana. Na kana kwamba kuomba msamaha tu na kusamehe haiwezekani anataka kwenda mahakamani kudai watoto hao. Eh Mungu uturehemu sisi sote tu wakosaji.

Sio kudai, mi nataka maana watoto hawa ni wangu. Sema baada ya kupata ushauri kwa wadau nitakwenda kujitambulisha kwo kama mjomba wao.
 
What was the agreement you had with the married woman? What exactly did you expect would happen if you were to have children with a married woman? Did you expect her husband to happily allow you to step in years later, demanding that these children be given to you, simply because you are a sperm donor? He has been a father to them from the beginning. They are his children. You can't even get your issues together in your own home and you want to bring 2 (possibly 3!!) innocent children into the mess you call your LIFE?

Nimeanza kuhisi wewe unatunga hizi story. Either that or you are the most dramatic person alive.

If i fathered, i am their father. Kwenye sheria zetu hapa haitumbui sperm donor
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom