Haya watoto wa mjini hii mpya kazi kwenu ni ya week end,imetokea leo.
Ile mutoto NDAMA MUTOTO YA NG'OMBE (Ndama,al-maaluf Dalali wa magali pale Lumumba) na mwenzie aliye kuwa Lupango juzi juzi kwa wizi wa gari huku Arusha PAPA KIZAI ZAI (Mtanga) wamekamatwa na polisi na wapo Central toka asubuhi,wanashikiliwa kwa tuhuma za kutuma vijana wawili kwenda kuua na kuwaletea mwili wa ALBINO.
Vijana hao walitiwa nguvu na jeshi la polisi na baada ya kipigo kitakatifu walitaja watu walio watuma kupeleka mwili huo wa Mlemavu huyo.
Mpka saa nane mchana wa leo Vibosile hao walikua bado wanashikiliwa na jeshi la polisi,na licha ya kibano kikali waliendelea kukataa kwamba wao hawausiki kabisa na michezo hiyo LABDA KUNA MTU au WATU WANAJARIBU KUWAUNGANISHA NA MAKOSA HAYO.
Je huu nao ni utoto wa mjini?
Ndama ana tamaa sana, alimzima mshikaji wangu discman long time, enzi hiyo brotherkaka yake mshkaji wangu karudi kutoka Greece / Italy (watu walikuwa hawajazibukia States bado) basi akamtupia discman acheze CD.Enzi hiyo discman is a novelty, basi Ndama akaomba asikilize, akatoweka nayo, kuanzia hapo story kibao, mpaka mshkaji akamtia kituoni polisi makuti pale.
Ndama Shaaban ana tamaa sana na wala sishangai kusikia hizi habari.
Lakini imeboa pale watu wanapoanza kurusha kashfa za rejareja tena wengine ni watu niliodhani ni wa kuheshimika kabisa hapa JF..ndo maana nikasema..
Wakulu naona mnataja mitaa yote ya Dar..kuna yeyote mwenyeji wa mitaa ya gerezani??? Yaani naongelea block loote tokea mtaa wa msimbazi hadi mitaa ya co-cabs?? nani hajatengenezewa gari yake Gerezani?? Ile ni DETROIT ya dar...kifaa gani cha gari ukikose pale??
Wakati huo ukienda shule kuna malolabugi bwana...lazima wakujue wewe ni mtoto wa mzee fulani otherwise wanaweza kukuchukulia madaftari hasa kipindi cha mwanzoni mwa muhula....
Kali kuliko yote unapigwa makonzi ukimshangaa msela akila msuba...
GEREZANI,tulikuwa twaenda cheza tombola,alaafu wazee wetu wakiibiwa vioo vya magari,tunakwenda kuvikuta gerezani,hapo mdingi hata aje na bunduki,atake,asitake kioo chake mwenyewe anauziwa
mwazange,lakini asili ya hili jina la gerezani lilitoka wapi?kulikuwa na gereza nini? mazee unaikumbuka railway crossing ya pale TAZARA hapa palikuwa machinjioni mtu kibao zimekumbwa na train hapa. kwenye sagula sagula ulikuwa unajichanganya?au wewe mwenzetu matawi ya juu
Aah wapi mkuu mimi sikuwa wale wa mitaa ya juu, mimi nilikuwa wa kawaida tu, nimekwenda sana kwenye mabehewa ya kutoka bara kukusanya mbolea kwa ajili ya skonga...
Nilishawahi kuuliza kuhusu asilia ya jina hilo lakini sikupatiwa jibu la kueleweka...Mkuu umehudhuria shule mitaa ya hapo nini....nianze kukumbuka mie.
Crossing ipi hiyo unayoizungumzia? Ya kule kwa Pugu Road au ya shaurimoyo mkuu...?
The earliest Indian and African neighbourhoods of Dar es Salaam were relatively close to the business and administrative quarters. Rising rents
scattered poorer Africans away from the centre, thus rendering moot German
discussions (from 1905) about creating an isolated African residential quarter.44
Housing for the towns core population expanded westward. Adjacent to the
militarized western end of the habour lay Dar es Salaams Indian
neighbourhood, centred around Inderstrasse (still India Street), and bordered
to the south by Unter den Akazien (now Samora Avenue) and to the north by
Marktstrasse (Indira Gandhi Street) and Wissmannstrasse (Makunganya Street).
This was a densely built-up area containing stone buildings that let in little light
or air. To the southwest, where the railway was commenced in 1905, lay
Gerezani, at that time a mixed neighbourhood of Asians and Africans presently
joined by Greek and Italian immigrants taking up residence for construction
work. To the north of Marktstrasse and south of both Sultanstrasse (now
roughly Bibi Titi Mohammad Road and Libya Street) and Ringstrasse (Jamhuri
Street) lay an overwhelmingly African neighbourhood of makuti huts, with a
handful of Indian residents inhabiting stone buildings next to the town market
(roughly at Indira Ghandi between Mosque Street and Morogoro Road). Finally,
in what is today Mnazi Mmoja, lay the periphery of Dar es Salaam in 1905, a
completely unplanned area of makuti huts that housed many of the domestic
servants or boys of European households.45
Nyerere alikuwa mwenye akili sana!!!!
Kuna mtu kamuongelea NDAMA sasa na mimi nimekumbuka watu wengine
Hivi kuna mtu anaweza kuniambia kama TALL keshajenga nyumba maana dalali yule alikuwa akiishi kwenye gesti Haus za migo migo
Hivi ile hoteli ya wakuja ya KIBODYA bado ipo maana ile watu woote from country side esp wanaotoka KIGOMA LAADHI ndio destination yao wakija Dar
Hivi kuna mtu anajua DARWESH swahiba yake ndama aliishia wapi?
Jamani hivi MUDI MAS aka MUDI MWARABU aka TAJIRI MTOTO bado anaendelea kuuza chupi pale mtaa wa kisutu ?
Jamani MAO FLEX naye alipotelea wapi? (mara ya mwisho nilisikia alirudi kwenye fani yake ya zamani ya kusafisha ma kapeti kule mississippi) sijui ndio anazushiwa au sijui vipi
na zaidi ya hayo nani anajua ukweli kuhusu kifo cha yule mtoto wa Temeke HAMZA? maana tunaambiwa alijipiga risasi wengine wanadai alijui ukweli ni upi
Jamani kama kuna mtu anazo taarifa za MWAKITWANGE mpeni salaaam mwambieni asijifiche sana mjini
Of course tutamsahau vipi Brother Khery wa SALAMANDER? Maana pale magazines zote za dunia nzima unazipata na hata Ben na Mkewe walikuwa wanafunga on Sundays pale wananunua FT WEEK-END
Na zaidi ya yote hayo nauliza hivi? Hivi UGWENO GUEST HOUSE na EXANADU GUEST HOUSE bado zipo au?
la micho mwicho mwisho zaidi
Hivi nani kati yenu bado anaenda kupiga simu za Internatinal za kimitikasi pale MUHIMBILI?
nawasilisha
na zaidi ya hayo nani anajua ukweli kuhusu kifo cha yule mtoto wa Temeke HAMZA? maana tunaambiwa alijipiga risasi wengine wanadai alijui ukweli ni upi
GT,
Hamza huyu yupi? Yule aliyekuwa anakaa kurasini hapa bendera tatu kwenye nyumba za BP? Mshua wake alikuwa BP na step-mom British Airways? Brotherman player type? alitesa sana Majira mpaka wazee wakaona anakufuru? Au mwingine?
Mkulu GT wewe kweli wakitambo.
Hao jamaa uanwauliza kweli ni watoto wa mji kweli kweli.
Nitakujibu wachache ambao ninewaona Khery Magazines alikuwapo kama miaka miwili ya nyuma(sina uhakika sana na muda) nilimwona alafu kama huna habari SALAMANDER pamevunjwa mwezi huu wa 11.alafu hapo nyuma kulikua na watu wanakuwepo kuwepo pale kwenye ile meza ukimuulizia jamaa wanakuambia katoka.siku hizi yale magazines unauziwa kwenye Trafic lights kwahiyo sio sana kwenda samora.
Mwandewazimu MUDI MAS nilikutana nae China mwaka jana kaweka nywele zake rangi alikua na Manganja ,pamoja na KIboko.
Jamaa anaongea kama katiwa Funguo,"anadai yeye utajiri kwao kaukuta,kuliko vitoto vinavyo jua safari siku hizi )
GAME THEORY,nimekubali,kila baharia,kila mtoto wa mjini unamjua wewe!!!! sasa hiyo shule ulisoma saa ngapi? je hao mabaharia wakirudi fresh,walikuwa wanakususia vitu vikubwa mwenzetu,lazima ulikuwa pina.nashukuru sana humu JF tuna watoto wa mjini,heshima zako mkuu,mimi napandisha white flag