Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
- Thread starter
-
- #261
WAKUBWA,mnawakumbuka akina PAILONGA,jamaa limedunda sana pale holiday inn.kuna jamaa lingine SPEAR,hii mijamaa yote ya kuja lakini ilitesa kiaina.Nani kasema jogoo wa shamba hawiki mjini?
Mnamkumbuka BOB RICHARD?
jamani kuna mtu anayo picha ya ule MBUYU wetu wa OYSTERBAY...ukitokea salender bridge basi utauona uko kwenye kona pale
GT
Bob Richard mbona yupo hapo hapo London. Nilipopita mitaa hiyo miaka 2 iliyopita niligumiana kwenye ka-party fulani hivi mitaa ya North huko Ma- Edmonton. Amechoka ki-aina na ucheck bob kaacha design kajibutua.
- Mkuu GT umenikumbusha ule mbuyu noma, "umeua" vijana wengi sana maana nasikia ukiwa unaendesha usiku kupitia ule mbuyu, basi unaona mara mbuzi wanakatiza bara bara mara watu wasioeleweka, ukiwakwepa tu umeunywa nomaa kichizi, kesho washikaji wanajipanga mkao wa kula pilau kwa wingi,
mara ya mwisho ulimuondoa Abasi Senga, si unamkumbuka yule dogo riziki riziki wa Marehemu Mbwana, aliyekuwa director wa Immigration under Mwinyi aliyeacha mkewe kwa ajili ya huyu dogo, yaani noma sana, au?
Alpha yuko s unajua naye aliuvamia mji kichwa kichwa na kuanza kutembea na wake za watu eventually watu waka catch up naye...mengine siwezi kuyasema humu kwani ni too graphic yaliyomkuta kijana Alpha
Anyway sasa hivi yukpo mjini ana share nadhani in one of them magazines za weekly na naona posho ya Ephraim Mafuru wa Vodacom ina mkeep huyo Alpha going which is all good if you know what i mean
Lile dula lake la Karibu hotel lilifungwa lakini kama hustler yoyote yule mjini bado ana survive.
One again I cant knock the brothers hustle
Hivi unajua aliko MUSA FIDO DIDO? jamaa wa kipemba alikuwa maskani ni Salamander lakini nasikia sasa hivi yuko NYC
kumbe abasi senga alikufa kwa mzinga? radio mbao zilitufanya tu believe alianguka toilet au was it mbwana who met his fate in the toilet?
kuna senga mbili ziko london,mmoja nadhani ni mrisho na ingine husband ya diana(ex ATC employee)
huyu king sabata ni lile jitu mmoja nyeusi hivi kama inachechemea?
Dogo elewa kuwa chama langu haina maana nami nilikuwa mvuta bangi kama wao, bali nilikuwa mshabiki wa timu Nzige Army ambayo makazi yalikuwa pale makuti na mimi ndio mitaa niliyokulia after-all nilikuwa dogo wa primary school tu.
Hope umeelewa
Duh
Machizi mnaniacha hoi ile kinoma
hivi kuna mtu anamkumbuka yule demu alikuwa anaitwa SHUSHU dingi yao ndiye alikuwa ana own LANGATA SOCIAL CLUB
dem mwenyewe alikuwa rangi rangi hivi...nadhani sasa hivi atakuwa kawa LIGOBOLE FULANI
looooooooong time
jamani hivi kuna mtu anajua what ALUTA is up to au na yeye ana fanyakazi benki? maana naona ma braza ambao maisha ya ulaya na USA yalipowashinda wengi wako mabenki wanakula HAPPY