Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,068
😅😅😅Halafu ukute la style jeans ...Mimi suruali alikuwa sipendi tangu mdogo ni mwendo wa kadeti za kombati na jeans
Weeeee usntanie, skuizi namodoa nakula vuchupa plas staravo, sckachers, nike, all-star....🤣siku izi ni mwendo wa Gucci, Nike, puma na viatu flani hivi naona vijana wanavaa vikubwa kuliko miili yao 😅
🤣🤣 ujana una raha na tabu zake. Naona unaufukuzilia mbali uzeeWeeeee usntanie, skuizi namodoa nakula vuvupa plas staravo, sckachers, nike, all-star....🤣
Hadi waifu ananiambia eti najitotosha...😜
Nilipo mpata waifu ndio ulikua mwisho wa kufukuzia, but lazima niende na wakati man selector....😊🤣🤣 ujana una raha na tabu zake. Naona unaufukuzilia mbali uzee
kuna unachokilenga kwenye kwenda na wakati😅 angalia usiende na wakati hadi kwa totozNilipo mpata waifu ndio ulikua mwisho wa kufukuzi, but lazima niende na wakati man selector....😊
Waifu kwangu ni toto tosha man...😋kuna unachokilenga kwenye kwenda na wakati😅 angalia usiende na wakati hadi kwa totoz
nikioa nataka niwe kama wewe mkuu kumbe inawezekanaWaifu kwangu ni toto tosha man...😋
Hata mimi nilikuaga kama wewe, baada ya kuoa iliwezekana kabisa...😊nikioa nataka niwe kama wewe mkuu kumbe inawezekana
mimi sijawai kuwa kama ulivyokuwa kabla ya kuoaHata mimi nilikuaga kama wewe, baada ya kuoa iliwezekana kabisa...😊
Basi wewe ni mtukutu sana, maana mimi nikiwa kijana nilikua mpole, mwenye adabu, napenda kusali na niliwaogopa wadada..😜mimi sijawai kuwa kama ulivyokuwa kabla ya kuoa
Cha muhimu ilikua ni kupima kiuno tu, vipimo vingine fundi ataweka kadiri atakavyoona inafaa.Hiyo suruali ilikua inaitwa Pima juu chini kadiria!!
Kitambaa kisibakiWatoto wa miaka ya 2000 watadhani umaskini ulifanya nivae yale "matambala" yanayotumika kwenye mashine za kusaga na kukoboa wakati watu wazima waliponiona na suruali hiyo waliwaambia madogo niliowaacha shule ya msingi wakomae ili wafaulu na kuja kuvaa vizuri kama mimi.
Hapo nimeenda skuli kwa ajili ya mahafali yetu ya kidato cha nne saa mbili nikijua nimechelewa nikakuta ndiyo kwanza madogo wanafanya usafi, nikaona nirudi zangu home kunywa chai.
Ningeitunza hii suruali mpaka leo nina UHAKIKA ingekuwa kubwa tu kwangu.
Ukisoma kitabu cha Luah sura ya tatu mstari wa saba, imeandikwa, "enyi KIZAZI cha modo, heshimuni komenti zenu kwenye picha hii kwa maana mkienenda kinyume, hasira za wavaa bwanga hazitawaacha salama."
View attachment 2697644
mbona kama ndio nipo hivyo sina utukutu wowote mkuu 😅Basi wewe ni mtukutu sana, maana mimi nikiwa kijana nilikua mpole, mwenye adabu, napenda kusali na niliwaogopa wadada..😜