Watoto wa majini

Watoto wa majini

mi nilifikiri hivi.
demon-within-faces-image.jpg
Ndio maana watoto wao wanasumbua sana duniani kama ndio hivyo,
 
Mie niko tofauti kidogo na wengine waliokuja speed, kwanza nahisi Nina shida ya kusoma neno halafu akili inasoma au inatafsiri kingine. Mie niliona kichwa cha habari kinasomeka hivi.... "Watoto wa Mjini" hivo nilivoona picha nikajua mshana ameenda Zanzibar hapo forodhani mida ya jioni akiwa anapata futari ndo akaona hao vijana wakijirusha aka diving. Baada ya kusoma majibu ya watu wengine ndo nikajua uliandika watoto wa majini.... hehehee umewapata.

Huo mchezo wanaofanya hao vijana ni hatari sana na kuna wanaokufa kwa kufikia mgongo au kichwa kwenye jiwe kubwa. Ila ndo hawasikii na hawaachi. Mie hunishawishi kuruka hapo na uzee wangu maana ntakuwa nakomiti suisaidi....

Good afternoon mshana jr
bi. kassie unaogopa jabali tu ndio maana hujirushi majini lkn hakunankwingime unajirusha na kujipindua pindua tena kwa hiari kabisa bila shuruti hali jasho lakutoka! embu jaribu na majini mamiii! (utani wangu na wahaya naujua mie)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom