Watoto wa majini

Watoto wa majini

Sio kwa spidi niliochomoka nayo jamani duh!
 
Usirudie tena mshana jr. Umeharib siku yangu, weye sio wa vijitu hivyo
 
nilijua tunapata darasa la viumbe majini kumbe hao wa ku dive [emoji87] [emoji87]
 
na mimi ni miongoni mwa waliochoka fasta
 
Katika siku ambayo umenikumbusha one of my starehe yangu ni pamoja na leo, nakumbuka niliwahi kulamba mchanga kwa hiyo kitu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nikiwa mdogo mbunge wetu alikuwa ni Naibu Waziri wa Maji, Nishati na Madini, basi mimi nikawa najua kwenye nishati ni haya mashati tunayovaa, na madini ni makanisa eti.

Ha ha ha, mshana jr umenikumbusha mbali sana.
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Halafu mnasema Mshana mchawi kumbe mnapenda? mie nimekuja na spidi ndogo japo nilijua ni majini ya ujinini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom