Watoto wa Kike Bwana....!!!

Watoto wa Kike Bwana....!!!

Vichwa vyengine vya kina dada vimejaa utomvu
 
Nawaza tu huyo aliyempiga hiyo picture atakua nani? Kwanini alimkalia hivyo wakati anampiga hiyo picha?Je kama ni boss wake, tunapata picha gani?
Tena aliempiga hiyo picha ndie aliekamatia huo mguu na kuuinua juu ili ipatikane picha inayouzika!...
 
Hicho kitufe kitakuwa kinatema... ndiyo maana inashuriwe kutokupeana mikono hovyo... huwezi jua mkono umetoka kushika au kugusa nini..
 
Sijaona tatizo! Kashika moja ya sehemu za mwili wake! Kama vile kushika kiuno au kichwa! Tatizo ni fikra zetu tu. Hahaha
 
Hatari sana
 

Attachments

  • 1485187303719.jpg
    1485187303719.jpg
    24.6 KB · Views: 73
  • 1485187316196.jpg
    1485187316196.jpg
    25.4 KB · Views: 72
Ashiiiiiiiii! hii ni shida, poa aisee huu uzi haufai ufungeni tu hauna tija yoyote wanajamiiFrm
 
Back
Top Bottom