Katika hali aliyonayo huyo binti hapo ingekuwa vigumu sana kutokuzimaliza!Inasemekana alimaliza kabisa!!! Ila ndo tulipofikia hapo...tegemea chochote kutoka kwa mwanadamu!!!
Hao ndo akina Monica lewisnky waliomponza Bill ClintonHakuna nidhamu ya kazi hapo.
Biashara matangazo
Sijambo mkuu za siku nyingi? Kweli ni muda kweliHujambo mrembo wa nguvu? zamaani sana...
Kuweka mkate kitandani unadhani utaugeuza mkate kuwa uchafu? Jibu ndio au hapana...Kwani shida IPO wapi huo si mkao tu?
Tumepotezana sana, nadhani ni majukumu ya hapa na pale tu, ila kila jambo linakwenda vyema kabisa.Sijambo mkuu za siku nyingi? Kweli ni muda kweli
Bila shaka... majukumu tu si unajua tena uzee nao ukipiga hodiTumepotezana sana, nadhani ni majukumu ya hapa na pale tu, ila kila jambo linakwenda vyema kabisa.
Swadakta, hatuwezi kubishana na nyakati. wacha nyakati zetu ziitwe zama.Bila shaka... majukumu tu si unajua tena uzee nao ukipiga hodi
Poa mkuu uwe na siku njemaSwadakta, hatuwezi kubishana na nyakati. wacha nyakati zetu ziitwe zama.