Watoto wa Kiafrika na Kizungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa Kiafrika na Kizungu

Discussion in 'JF Doctor' started by LivingBody, Apr 23, 2011.

 1. LivingBody

  LivingBody Senior Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Habari wana jamii,
  Nina imani nipo kwenye jukwaa sahihi kama sivyo basi mtanilekebisha hii ningeiweka wapi.

  Kuna kitu huwa kinanisumbua akili yangu siku zote juu ta watoto wachanga wanapokuwa wanazaliwa, Nijuavyo mimi Vichanga vya Kiafrika vikizaliwa huwa na nywele kichwani,,, sasa kwa hawa wenzetu wazungu Vichanga huwa vinazaliwa bila nywele.
  sasa hii kitu huwa sielewi inakuwaje hapo,,, Naombeni msaada wenu juu ya hilo.

  asanteni
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Si kweli maneno yako.

  [​IMG]
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  evidence ya ukweli...cuz alitaka kutupiga fix.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Uliona/sikia wapi?
   
 5. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  hii ndo dawa yao, weka picha tu af watajiweka sawa
   
 6. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  hiyo ndo jf.
   
Loading...