Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,070
DUUH!!!!!! umenikumbusha mtu kibao-huyu kennedy yuko wapi siku hiziA. Ngdk sijasoma nae,
alikua anakaa mitaa gani?
Kamsopi kama wa Mangengesa Mdimi namfahamu hadi kesho,si walikua wanakaa sea view kwenye lile jengo lilikua refu kuliko yote miaka ile? Mule ndio tumejifunzia kupanda lift..
Pia watoto wa Upanga tulikua tunakutana sana Don Bosco na wengine mafundisho St. IMACULATE kwa Fr. Amadori.
Mi nilikaa mitaa hiyohiyo uliyoitaja ila umesahau Lugalo st. Kwa kina Ephraim Kibonde,Manase Zablon,Mtinangi.
Malik Rd kwa kina Telesphory Ndunguru,Undali kina Togani Ngota, Maria Goyayi, Ray Kasonga...
Alykhan kwa kina Koku yule alipata ajali akiwa na Kenedy Seusi akapoteza macho yote.. Unaikumbuka hiyo?
DUUH!!!!!! umenikumbusha mtu kibao-huyu kennedy yuko wapi siku hizi
Dah! Wewe ni mkaree... unakumbukumbu Sana Wanajeshi sure Walikuwa Wapole kwa Watoto tu enzi zile fensi yao ilikuwa ni Senyenge tu sie tulikuwa Watundu acha hatuwaogopi hao wanajeshi tunawakera hadi basi wanatupatia au wanatuambia tuingie tuyaangue kabla mkuu wao hajafika tunachukua mabuyu na maembe pia Sielewi Upanga kwa nini ilikuwa na miti ta Miembe Mingi Sana hadi ndani mule Jeshini..Hata mi wimbo wake sijaujua.
Umesahau Upanga tumecheza sago pia(ule mchezo wa kurusha betri)
Ila we ulikua mtundu sana,unayajua hadi ya lumumba,mnazi mmoja,mkama sharp!
Pale jeshini mtaa wa Magore kulikua na mibuyu,basi tukitoka kanisani au mafundisho tulikua tunapita kuwaomba mabuyu yale ambayo hayajapasuliwa,wanajeshi wa miaka ile walikua wapole maana yakianguka tunawekewa,yasipoanguka wanatuambia..lol.
Sahivi mjeshi gani aokote ubuyu eti awawekee watoto watapita.
kaka hutupendi...unatuchukia sana mpaka unashindwa kuficha..
MIMI ni wa upanga west,primary nimepiga hapo UPS,mitaa ya upanga east nimeyumba sana.Kennedy hayupo tena,
niliambiwa mdogo wake ila sikumbuki nini kilimuondoa.
Son of Alaska nawe upanga East?
West sikuwafahamu sana...
MIMI ni wa upanga west,primary nimepiga hapo UPS,mitaa ya upanga east nimeyumba sana.
Huyo kilema namkumbuka,jina nimemsahau
....kulikuwa na mtemi mmoja anaitwa siga siga, nani anakumbuka jina hili?....halafu kuna mmoja (mlemavu) nishalisahau jina lake alikuwa anatabia ya kuandika graffiti ukutani ".....kapita hapa!" mitaa ya upanga hiyo...
...pale uwanja wa shule ya muhimbili, team ya Super Star ilikuwa inapiga zoezi kila jioni, kina Abdul na Ahmad Amasha hii ilikuwa team yao ya mtaani...
...huku karibu na klabu ya Yanga kulikuwa na mkaanga chipsi maarufu kwa jina MASALADI, ilikuwa kama transit point kwa wote wanaoelekea majumbani kuanzia saa nane usiku mpaka alfajr kwa waliotokea Gogo-Africana, Mbowe etc...enzi hizo Bagamoyo Rd vumbi tupu, ni road race na wale waarabu wenye coaster za Scaba Scuba na Sea Never Dry kuwahi chipsi moto!
silver oak napajua,kijiwe cha castro ndio ilikuwa maskani kuu
...wapi hiyo, Silver Oak nini? lazima kijiwe cha Castro utakuwa unakikumbuka...
silver oak napajua,kijiwe cha castro ndio ilikuwa maskani kuu
Kulikuwa na Mwizi Maarufu alikuwa anaitwa Ali Gulu.. Cha kushangaza alikuwa ana mguu mbovu anachechemea lakini ni mwizi tena yule wa kukaba na anaondoka pole pole hakimbiii alikuwa anakuja hadi mitaa a kwetu kuba na wenzake mitaa tote ya Upanga kawaliza sana wahindi na waswahili...
ukisiikia mtu anataka kwenda kariakoo unamshangaa na kumuuliza wewe humuogopi Ali Gulu
Duka Shop,4 flats,unanikumbusha mbali sana-enzi za neema hizo-i would do anything to turn the hands of time backwards. Life imechange,whenever i am back washikaji hatuonani-kila mtu anaenda mbio
....shwari, ...kwa mtaji huo shule ya muhimbili imekuhusu sana, mitaa ya duka shop kwa baba Tayyibali na potelo zake, chipsi za Arawa, four flats nk...mitaa ya home hiyo.
Duka Shop,4 flats,unanikumbusha mbali sana-enzi za neema hizo-i would do anything to turn the hands of time backwards. Life imechange,whenever i am back washikaji hatuonani-kila mtu anaenda mbio
Karega nasikia ana Ualaza wa Nguvu... lol
....shwari, ...kwa mtaji huo shule ya muhimbili imekuhusu sana, mitaa ya duka shop kwa baba Tayyibali na potelo zake, chipsi za Arawa, four flats nk...mitaa ya home hiyo.
Nangatai Ulishakula wewe? inaelekea na wewe ulikuwa unapenda sana Sun Vita...Duka Shop,4 flats,unanikumbusha mbali sana-enzi za neema hizo-i would do anything to turn the hands of time backwards. Life imechange,whenever i am back washikaji hatuonani-kila mtu anaenda mbio
na kama Ali Guru mwenyewe wanayemzungumza ni yule wa mtaa wa Twiga....nimechoka kabisa!!!Ali gulu alikuwa mlemavu,inamaana ya kuwa akishakuiba badala ya kumkamata munamuangalia tu!dah!hii nomaa kabisa!!!