Watoto wa ikulu wanapokuwa peku.

Watoto wa ikulu wanapokuwa peku.

mbona watoto nyingi sana! Hivi clinton na bush wanawatoto ngapi?
 
Hapa kakukuwa na uzazi wa mpango ila mpango wa uzazi,uzuri aliwalea kama watoto wa kabwela yeyote nchini.
 
Maakongoro yule nyuma kidogo ya Nyrr mweny masikio km popo nadhan kushto kwa mkuu ni madaraka yule
 
Sio watoto wote wamwalimu, wengine walikuwa ndugu tu!

Inaonekana JK nyerere alikuwa na upendo na ndugu hadi kuingia ikulu na kupichika!! ila JK ------ anawatoto 9 tayari, akiongeza na ndugu ikulu ingekuwaje.duh
 
Familia ya kawaida sana yaani hadi inahamasisha,hapo ikulu ilikuwa kweli ni makazi na ofisi ya Rais!sasa ni kijiwe cha kupiga deal na mafisadi
 
Inaonekana JK nyerere alikuwa na upendo na ndugu hadi kuingia ikulu na kupichika!! ila JK ------ anawatoto 9 tayari, akiongeza na ndugu ikulu ingekuwaje.duh

Unauhakika kuwa Kikwete akiwakaribisha familia yake Ikulu watu wanachukia?
 
Heheee acha hizo mkuu, hebu nionyeshe hapo Makongoro yupo wapi na mimi nipo wapi hapo?

wewe nimeambiwa ndo yule uliye peku mduchu
bt mkuu please tufanyyie utambulisho wengi tunataka kuwafahamu kwenye hii picha
 
isee yery tutambulishe anza waliosimama
 
Maakongoro yule nyuma kidogo ya Nyrr mweny masikio km popo nadhan kushto kwa mkuu ni madaraka yule
Hapo pekundu heh heh heeee umenivunja mbavu,tena kama popo wa misitu ya Amazon teh teh mbavu zangu mayu weeeeee
 
1961-Nyerere-and-Family-after-independency.jpg
Naona Mwal nyota ya kijani ilimpitia pembeni teh teh
 
Back
Top Bottom