englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,210
Maisha ni tofauti sana! Watoto wa magogoni sasa hivi wamekuwa vibaka wa hekima wanatumia taaluma zao ku-hujumu washindani wa baba yao! Kila nikikumbuka zile sms za propaganda na matusi zilizokuwa zinaingia kweye simu zetu halafu eti TCRA walikuwa hawajui zinatokea wapi huwa naionea huruma magogoni yetu kuwa huenda labda imepigwa machata kwenye kuta za vyoo! Unaweza kuta labda kuna bonge la chata "Ritz moko" ambalo linamsubiri rais ajaye alifute!
Mkuu Yericko Nyerere ni mtoto wa Nyerere au jina tu?.
Sijui kile kidogo ndo kiyericko?
dada King'asti hebu boresha ndoa yako akijua ushaa anza kutamani uta achika!...
Aisee inapendeza sana.
Namuona makongoro yule.
Sijui kile kidogo ndo kiyericko?