Watoto wa IGP Mstaafu Omari Mahita walioajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania wako wangapi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,126
Hili ni swali muhimu linalopaswa kujibiwa, Inafahamika kwamba miongoni mwa watoto hao wa Mahita yumo Mahita Omari ambaye sasa imefahamika kwamba amewekwa kwenye kundi la WATESAJI, au kwa jina la kisasa ni WATU WASIOJULIKANA, hatuna shida naye maana tayari ameanikwa hadharani na Mungu.

Swali ni hili , ni watoto wangapi wa Mahita mwenyewe ama viongozi wengine wa jeshi la polisi waliopewa ajira Polisi na yalivyo majukumu yao ? hatuna shida na njia walizotumia kupata ajira hiyo.

Natanguliza Shukrani .
 
Kwani hao watoto hawapaswi kufata ndoto zao kupitia baba zao Mzee mlaumu mama ako kwa kukuchagulia baba jinga jinga ona sasa unaonea wivu baba wa wenzako
Bush mwanaye alikuwa rais huko USA
Kim Jong un babu yake alikuwa mtawala
Kabila mwanaye akawa rais
Karume mwanae akawa rais
Mwinyi mwanae akawa rais hiyo ni mifano michache jinsi mama wa wenzako walivyo chagua wababa wapiganaji kwa familia zao

Wewe ndo madhara ya mama kuchagua baba uliye naye sasa busy 'JF kuangaika na watoto wa kina mahita
Mbowe mwenyewe chadema kapewa sebleni na baba mkwe wake mzee Mtei
Ushaur bro anza kuandaa maisha ya watoto wako usiwe kama baba ako kashindwa kukuandalia
 
Nazani ipo ruhusa kwa watoto wa polisi yeyote yule ambae amelitumikia au analitumikia jeshi kwa vizuri,basi watoto wake wanayo nafasi kubwa ya kuajiriwa bila ya pingamizi,mtoto mwenyewe tu ndie anaeamua kama anataka kufanya na kuajiriwa basi fursa ipo wazi.
 
Sasa wakiajiriwa huko ndio wawe na haki ya kubambikia kesi, kutesa na kuua watu?
 
Hili ni swali muhimu linalopaswa kujibiwa , Inafahamika kwamba miongoni mwa watoto hao wa Mahita yumo Mahita Omari ambaye sasa imefahamika kwamba amewekwa kwenye kundi la WATESAJI , au kwa jina la kisasa ni WATU WASIOJULIKANA , hatuna shida naye maana tayari ameanikwa hadharani na Mungu .

Swali ni hili , ni watoto wangapi wa Mahita mwenyewe ama viongozi wengine wa jeshi la polisi waliopewa ajira Polisi na yalivyo majukumu yao ? hatuna shida na njia walizotumia kupata ajira hiyo .

Natanguliza Shukrani .
Mahita ana jumla ya watoto 17
Nje ya ndoa wapo 13
Nawajua ni maaskari ni watatu huyo Mahita Omary Mahita Inspector na ni Tiss pia
Abdul Omary Mahita marehemu
Fatuma Mahita ni daktari

Nyongeza
Sirro nae ana mtoto yupo polisi cheo cha Inspector alikua Ofisi ya mwanasheria mkuu muda huu kahamishiwa bandari

Mabeyo nae ana mtoto ni mjeshi pia cheo cha kanali

So utaona watoto wao wanavyopandishwa haraka haraka
 
Nazani ipo ruhusa kwa watoto wa polisi yeyote yule ambae amelitumikia au analitumikia jeshi kwa vizuri,basi watoto wake wanayo nafasi kubwa ya kuajiriwa bila ya pingamizi,mtoto mwenyewe tu ndie anaeamua kama anataka kufanya na kuajiriwa basi fursa ipo wazi.
Hakuna ruhusa hiyo
Sema tu wakubwa hupewa nafasi kwanza kama anaye mtu mwenye sifa ila sio sheria kwamba lazima apewe.
Ndo maana nafasi zilizotoka waliandika four ya 28-32
Ila majina yametoka et karibia watu elf 1 na 4 wana bachelor,certificate na diploma
Tokea lini jeshi likaanza kuajiri watu wenye degree kiasi hicho yaani watu elfu 1 waje wawe staff kweli .?
 
Mahita ana jumla ya watoto 17
Nje ya ndoa wapo 13
Nawajua ni maaskari ni watatu huyo Mahita Omary Mahita Inspector na ni Tiss pia
Abdul Omary Mahita marehemu
Fatuma Mahita ni daktari

Nyongeza
Sirro nae ana mtoto yupo polisi cheo cha Inspector alikua Ofisi ya mwanasheria mkuu muda huu kahamishiwa bandari

Mabeyo nae ana mtoto ni mjeshi pia cheo cha kanali

So utaona watoto wao wanavyopandishwa haraka haraka
Aiseeee
 
Pongezi kwao kwa kuweza kuwalea watoto wakaamini kwenye kile wanachoamini wao
Hata mimi nilipenda kufanya kazi aliyofanya baba yangu na naifurahia
 
Mahita ana jumla ya watoto 17
Nje ya ndoa wapo 13
Nawajua ni maaskari ni watatu huyo Mahita Omary Mahita Inspector na ni Tiss pia
Abdul Omary Mahita marehemu
Fatuma Mahita ni daktari

Nyongeza
Sirro nae ana mtoto yupo polisi cheo cha Inspector alikua Ofisi ya mwanasheria mkuu muda huu kahamishiwa bandari

Mabeyo nae ana mtoto ni mjeshi pia cheo cha kanali

So utaona watoto wao wanavyopandishwa haraka haraka
Mabeyo ana mtoto kanali kweli?
 
labda kama hawana sifa,utakuwa na hoja.

ndio maana kwa kuzingatia sifa kati ya watoto 17 wa mahita ni watatu polisi,mmoja dactary,kwa mabeyo pia ni hivyo hawakubebwa bebwa tu.

lakini kingine,nyinyi ndio wale watu mnatoboa,ndugu jamaa na washkaji wakiomba tobo watusue mnabana,msamiati masihi wa kitaa kwenu haufanyi kazi kabisa hata kama watu wanazo sifa.
 
Kwani hao watoto hawapaswi kufata ndoto zao kupitia baba zao Mzee mlaumu mama ako kwa kukuchagulia baba jinga jinga ona sasa unaonea wivu baba wa wenzako
Bush mwanaye alikuwa rais huko USA
Kim Jong un babu yake alikuwa mtawala
Kabila mwanaye akawa rais
Karume mwanae akawa rais
Mwinyi mwanae akawa rais hiyo ni mifano michache jinsi mama wa wenzako walivyo chagua wababa wapiganaji kwa familia zao

Wewe ndo madhara ya mama kuchagua baba uliye naye sasa busy 'JF kuangaika na watoto wa kina mahita
Mbowe mwenyewe chadema kapewa sebleni na baba mkwe wake mzee Mtei
Ushaur bro anza kuandaa maisha ya watoto wako usiwe kama baba ako kashindwa kukuandalia
Wewe ndo yule alizaa na house girl? Umekuwa mkali....🤣
 
Back
Top Bottom