Watoto wa IGP Mstaafu Omari Mahita walioajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania wako wangapi?

Hili ni swali muhimu linalopaswa kujibiwa , Inafahamika kwamba miongoni mwa watoto hao wa Mahita yumo Mahita Omari ambaye sasa imefahamika kwamba amewekwa kwenye kundi la WATESAJI , au kwa jina la kisasa ni WATU WASIOJULIKANA , hatuna shida naye maana tayari ameanikwa hadharani na Mungu .

Swali ni hili , ni watoto wangapi wa Mahita mwenyewe ama viongozi wengine wa jeshi la polisi waliopewa ajira Polisi na yalivyo majukumu yao ? hatuna shida na njia walizotumia kupata ajira hiyo .

Natanguliza Shukrani .
Mambo ya kawaida tu ukiwa kwenye system lazima utavuta kizazi chako kiingie kwenye system,advantage yao ni kwamba watoto wa wakubwa wanaingia kwenye system ki ulaini kuliko skins sie,
Hata US na UK ipo hivyo
Mzee George Bush,alikuwa Raisi wa marekani,mtoto wake akawa Raisi pia,mtoto wake mwingine Jebb Bush aligombea tiketi ya chama Ili agombee Uraisi akashindwa kwenye hatua za kwanza,lakini ni seneta mkubwa tu.
 
Kwani hao watoto hawapaswi kufata ndoto zao kupitia baba zao Mzee mlaumu mama ako kwa kukuchagulia baba jinga jinga ona sasa unaonea wivu baba wa wenzako
Bush mwanaye alikuwa rais huko USA
Kim Jong un babu yake alikuwa mtawala
Kabila mwanaye akawa rais
Karume mwanae akawa rais
Mwinyi mwanae akawa rais hiyo ni mifano michache jinsi mama wa wenzako walivyo chagua wababa wapiganaji kwa familia zao

Wewe ndo madhara ya mama kuchagua baba uliye naye sasa busy 'JF kuangaika na watoto wa kina mahita
Mbowe mwenyewe chadema kapewa sebleni na baba mkwe wake mzee Mtei
Ushaur bro anza kuandaa maisha ya watoto wako usiwe kama baba ako kashindwa kukuandalia
So kafata ndoto za baba yake
 
Mahita ana jumla ya watoto 17
Nje ya ndoa wapo 13
Nawajua ni maaskari ni watatu huyo Mahita Omary Mahita Inspector na ni Tiss pia
Abdul Omary Mahita marehemu
Fatuma Mahita ni daktari

Nyongeza
Sirro nae ana mtoto yupo polisi cheo cha Inspector alikua Ofisi ya mwanasheria mkuu muda huu kahamishiwa bandari

Mabeyo nae ana mtoto ni mjeshi pia cheo cha kanali

So utaona watoto wao wanavyopandishwa haraka haraka
Sisi watoto wa wanyonge afisa utumishi anakusotesha miaka kumi hukioni cheo, watoto wa wakubwa wanapigwa vyeo mserereko.......nawaelewa sana wanaosema haki ipo mbinguni, duniani ni mwendo wa kuburuzana tu.
 
Hili ni swali muhimu linalopaswa kujibiwa , Inafahamika kwamba miongoni mwa watoto hao wa Mahita yumo Mahita Omari ambaye sasa imefahamika kwamba amewekwa kwenye kundi la WATESAJI , au kwa jina la kisasa ni WATU WASIOJULIKANA , hatuna shida naye maana tayari ameanikwa hadharani na Mungu .

Swali ni hili , ni watoto wangapi wa Mahita mwenyewe ama viongozi wengine wa jeshi la polisi waliopewa ajira Polisi na yalivyo majukumu yao ? hatuna shida na njia walizotumia kupata ajira hiyo .

Natanguliza Shukrani .
Uko serious Kweli?
 
Kwani hao watoto hawapaswi kufata ndoto zao kupitia baba zao Mzee mlaumu mama ako kwa kukuchagulia baba jinga jinga ona sasa unaonea wivu baba wa wenzako
Bush mwanaye alikuwa rais huko USA
Kim Jong un babu yake alikuwa mtawala
Kabila mwanaye akawa rais
Karume mwanae akawa rais
Mwinyi mwanae akawa rais hiyo ni mifano michache jinsi mama wa wenzako walivyo chagua wababa wapiganaji kwa familia zao

Wewe ndo madhara ya mama kuchagua baba uliye naye sasa busy 'JF kuangaika na watoto wa kina mahita
Mbowe mwenyewe chadema kapewa sebleni na baba mkwe wake mzee Mtei
Ushaur bro anza kuandaa maisha ya watoto wako usiwe kama baba ako kashindwa kukuandalia
Wewe ushoga umeanzaje au pia una uhusiano na Baba ukiyechaguliwa?
 
Back in the days kulikuwa na kitu kinaitwa SAFISHA KAMBI...

Wale watoto wenzangu wa line, bila shaka watakuwa wanakumbuka...

Sijui inakuwa inakuwa vipi lakini mitoto ya polisi, hususani ile iliyokulia laini, inakuwa mitundu kweli kweli!!

Kwahiyo miaka hiyo ilikuwa baada ya kufanya papers za LY, na hata wale waliobahatika kufika Form IV, majority tulikuwa tunakuwa tupo tupo tu... full vurugu hapo laini!!

Usije na gari yako ukailaza kifala fala ukiamini hapa ni Police Kota, my friend, ukiamka utakuta watu wametembea na side mirrors... sasa jiulize ikiwa mtu wa mtaani anaweza kuingia kota za polisi usiku na kuiba side mirror!!

Mimi mwenyewe, nishawahi kula makofi ya kutosha kutoka kwa polisi ambao walikuwa hawanifahamu!! Nilikula makofi kutokana na utukutu ingawaje baada ilibidi waufyate walipojua kiburi nakitoa wapi!!

Mdogo wangu kabisa alikoswa koswa risasi usiku wa manane pande za Zamcargo walikoenda kuiba mafuta! And guess what... the kid was only 14!!!

Sasa hao ndo watoto wa polisi!!

Sasa Safisha Kambi ilikuwa inatumika kuzoa zoa hawa Watoto Pasua Kichwa na kuwapeleka depo Moshi, ingawaje mafyatu wengi hata huo upolisi wenyewe walikuwa hauwataki!!

Na kweli, ilikuwa ikipita Safisha Kambi, utulivu unarejea kwa muda!!!

Siku niliyochoka na Safisha Kambi ni pale nimeshakuwa mtu mzima, nimeajiriwa na taasisi moja binafsi mkoa!! Siku nisiyoikumbuka, sina hili wala lile, naletewa taarifa kwamba kuna mdogo wangu ananitafuta!!

Natoka nje, nakutana na binti mmoja tuliyekuwa nae laini ... eti nae kawa polisi!! Nishakutana na watoto watukutu, lakini huyu binti ni "shikamoo" kwake!!!

Kwahiyo mleta mada, watoto wa polisi na upolisi ni chanda na pete!! Sema ndo vile tena, zama za neema hata hao watoto upolisi wenyewe walikuwa hawautaki vinginevyo, leo hii ungekuta 50% ya polisi ni watoto wa polisi na ndugu zao!!! Sisi wenyewe kwa mfano, out of 5 children, ni mmoja tu ndie Njagu, na wengine wote hawakuutaka!!
 
Hili ni swali muhimu linalopaswa kujibiwa , Inafahamika kwamba miongoni mwa watoto hao wa Mahita yumo Mahita Omari ambaye sasa imefahamika kwamba amewekwa kwenye kundi la WATESAJI , au kwa jina la kisasa ni WATU WASIOJULIKANA , hatuna shida naye maana tayari ameanikwa hadharani na Mungu .

Swali ni hili , ni watoto wangapi wa Mahita mwenyewe ama viongozi wengine wa jeshi la polisi waliopewa ajira Polisi na yalivyo majukumu yao ? hatuna shida na njia walizotumia kupata ajira hiyo .

Natanguliza Shukrani .
Mahita mwenyewe yabidi akamatwe anyongwe tu maana hana faida na taifa letu, jamaa alikuwa jambazi sana kwani alimiliki vikundi vya majambazi na kuua askari/walinzi wa benki na kupora hela.
 
Mahita ana jumla ya watoto 17
Nje ya ndoa wapo 13
Nawajua ni maaskari ni watatu huyo Mahita Omary Mahita Inspector na ni Tiss pia
Abdul Omary Mahita marehemu
Fatuma Mahita ni daktari

Nyongeza
Sirro nae ana mtoto yupo polisi cheo cha Inspector alikua Ofisi ya mwanasheria mkuu muda huu kahamishiwa bandari

Mabeyo nae ana mtoto ni mjeshi pia cheo cha kanali

So utaona watoto wao wanavyopandishwa haraka haraka
Tunakushukuru sana
 
Mambo ya kawaida tu ukiwa kwenye system lazima utavuta kizazi chako kiingie kwenye system,advantage yao ni kwamba watoto wa wakubwa wanaingia kwenye system ki ulaini kuliko skins sie,
Hata US na UK ipo hivyo
Mzee George Bush,alikuwa Raisi wa marekani,mtoto wake akawa Raisi pia,mtoto wake mwingine Jebb Bush aligombea tiketi ya chama Ili agombee Uraisi akashindwa kwenye hatua za kwanza,lakini ni seneta mkubwa tu.
Labda kama unazungumzia akina Kim Jong wa Korea, ila hao akina Bush hao wamechaguliwa na wananchi.
 
Back in the days kulikuwa na kitu kinaitwa SAFISHA KAMBI...

Wale watoto wenzangu wa line, bila shaka watakuwa wanakumbuka...

Sijui inakuwa inakuwa vipi lakini mitoto ya polisi, hususani ile iliyokulia laini, inakuwa mitundu kweli kweli!!

Kwahiyo miaka hiyo ilikuwa baada ya kufanya papers za LY, na hata wale waliobahatika kufika Form IV, majority tulikuwa tunakuwa tupo tupo tu... full vurugu hapo laini!!

Usije na gari yako ukailaza kifala fala ukiamini hapa ni Police Kota, my friend, ukiamka utakuta watu wametembea na site mirrors... sasa jiulize ikiwa mtu wa mtaani anaweza kuingia kota za polisi usiku na kuiba site mirror!!

Mimi mwenyewe, nishawahi kula makofi ya kutosha kutoka kwa polisi ambao walikuwa hawanifahamu!! Nilikula makofi kutokana na utukutu ingawaje baada ilibidi waufyate walipojua kiburi nakitoa wapi!!

Mdogo wangu kabisa alikoswa koswa risasi usiku wa manane pande za Zamcargo walikoenda kuiba mafuta! And guess what... the kid was only 14!!!

Sasa hao ndo watoto wa polisi!!

Sasa Safisha Kambi ilikuwa inatumika kuzoa zoa hawa Watoto Pasua Kichwa na kuwapeleka depo Moshi, ingawaje mafyatu wengi hata huo upolisi wenyewe walikuwa hauwataki!!

Na kweli, ilikuwa ikipita Safisha Kambi, utulivu unarejea kwa muda!!!

Siku niliyochoka na Safisha Kambi ni pale nimeshakuwa mtu mzima, nimeajiriwa na taasisi moja binafsi mkoa!! Siku nisiyoikumbuka, sina hili wala lile, naletewa taarifa kwamba kuna mdogo wangu ananitafuta!!

Natoka nje, nakutana na binti mmoja tuliyekuwa nae laini ... eti nae kawa polisi!! Nishakutana na watoto watukutu, lakini huyu binti ni "shikamoo" kwake!!!

Kwahiyo mleta mada, watoto wa polisi na upolisi ni chanda na pete!! Sema ndo vile tena, zama za neema hata hao watoto upolisi wenyewe walikuwa hawautaki vinginevyo, leo hii ungekuta 50% ya polisi ni watoto wa polisi na ndugu zao!!! Sisi wenyewe kwa mfano, out of 5 children, ni mmoja tu ndie Njagu, na wengine wote hawakuutaka!!
Mkuu Chige , siamini kama nawe ni mtoto wa "line".
Naomba nikusahihishe jambo moja.
Sio "site mirror" mkuu, ni "side mirror".
Upo vizuri sana kichwani kuwa mtoto wa "line".
Naomba uwashauri polisi ulio karibu nao wawe watenda haki ili kuondoa hii chuki tuliyonayo sisi raia dhidi yao.
 
Nazani ipo ruhusa kwa watoto wa polisi yeyote yule ambae amelitumikia au analitumikia jeshi kwa vizuri,basi watoto wake wanayo nafasi kubwa ya kuajiriwa bila ya pingamizi,mtoto mwenyewe tu ndie anaeamua kama anataka kufanya na kuajiriwa basi fursa ipo wazi.
Kwani hao watoto hawapaswi kufata ndoto zao kupitia baba zao Mzee mlaumu mama ako kwa kukuchagulia baba jinga jinga ona sasa unaonea wivu baba wa wenzako
Bush mwanaye alikuwa rais huko USA
Kim Jong un babu yake alikuwa mtawala
Kabila mwanaye akawa rais
Karume mwanae akawa rais
Mwinyi mwanae akawa rais hiyo ni mifano michache jinsi mama wa wenzako walivyo chagua wababa wapiganaji kwa familia zao

Wewe ndo madhara ya mama kuchagua baba uliye naye sasa busy 'JF kuangaika na watoto wa kina mahita
Mbowe mwenyewe chadema kapewa sebleni na baba mkwe wake mzee Mtei
Ushaur bro anza kuandaa maisha ya watoto wako usiwe kama baba ako kashindwa kukuandalia
Mmenifanya nirudie kuusoma UZI upya cause i thought sikua nimeuelewa vizuri; sijaona jamaa anapolalamikia watoto wa police kua mapolice kama baba/mama zao; nyie mmeona mstari gani ambapo jamaa kalalamika!? Yeye anataka tu kujua wako wangapi baasi
 
Mkuu Chige , siamini kama nawe ni mtoto wa "line".
Naomba nikusahihishe jambo moja.
Sio "site mirror" mkuu, ni "side mirror".
Upo vizuri sana kichwani kuwa mtoto wa "line".
Naomba uwashauri polisi ulio karibu nao wawe watenda haki ili kuondoa hii chuki tuliyonayo sisi raia dhidi yao.
Ahsante kwa kunisahihisha ndugu yangu... nimerugwa! Unajua nilikuwa na-struggle kuandika sight, nikaishia kuandika site, though the correct term is side mirror kwa sababu nilikusudia ku-refer cha nje!!!

Acha pongezi zangu za pekee nimpatie uncle wangu ambae nae alikuwa anaishi kwetu pale kota!!

Huyu Mwamba, baada ya kumaliza chuo, na kupata kazi yake mzuri, nikahama nae kwenda kuishi uraiani, tena uraiani walikostaaribika!!

Leo hii hata huko Kota za Polisi kwenyewe nikienda nitaonekana mgeni, manake it's 15 years now sijawahi hata kutia mguu hapo!!
 
Back
Top Bottom