Watoto wa dot com

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,110
Mtoto kakaa na baba yake mara girlfriend wake akaja

DOGO: Karibu sana vipi umefata kile kitabu chako cha SPEAK ENGLISH MY FATHER CANNOT UNDERSTAND

MSICHANA: Ndiyo nipe na kile cha WHERE CAN WE MEET?

DOGO: Hicho sina labda nikupe WE CAN MEET UNDER THE MANGO TREE

MSICHANA:Basi nipe kile cha I GIVE YOU FIVE MINUTES

DOGO: Sawa

MSICHANA: Haya mimi naenda ila usisahau kile cha I LOVE YOU

BABA: Mbona huyu mtoto anataka vitabu vingi sana? Vyote atavisoma avimalize kweli?

DOGO: Huyu ana akili sanando anaongoza darasani

BABA: Basi mpe na kile cha I HAVE UNDERSTOOD ALL THE STUPIDITY YOU WERE TALKING.

Chezeya darasa la 4 la mkoloni na ki english......
 
Huyo mzee noma kweli dogo angemwambie dady wake nawe nakupa cha AM SORRY DADY
 
hahahahahahah kazi hipo
 
"mimi i only use less than 25MB per day ila toto langu linatumia MB600 au 500 khaaaa
kila ukiongea na simu lazima anauliza nani?
nachompendea ikifika saa 1 usiku lazima ampigie baba yake amwambie awahi kurudi home looo
hawa ndo watoto wa .com"

mimi nimeiquote tu
 

Ha ha aaa haa..ndo yale ya mtu anaulizwa unatumia mtandao gani anasema.....SAMSUNG akiulizwa simu yako aina gani anasema ZANTEL lool
 
Daaah mpangilio wa mada na wachangiaji umenifanya nicheke na kutabasamu kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…