Watoto wa Alshabab walivoadhimisha Eid

Kwa hilo Wasomali hawana akili...acha waendelee kuuana
 
Hawa nasikitika sana nionapo watoto wanapewa toy guns. psychologically tunawaharibu sana hawa watoto. Nimewahi kugombana sana with my brother because of these stuffs
toy gun?..!!,hujawaona watoto wa kiyahudi hapo wanacheza na real gun?
 
al shabab na uislam ni vitu viwili tofauti, uliza post uliyoniqoute kitu usichoelewa nikufafanulie
kwanini alshababu,kwanini boko haramu, kwanini ISIS,kwanini nani sijui! na wakiuwa wanasema alkubalu! ndio mnavyo fundishwa! msiwakatae wenzenu! ndivyo mlivyo..
 
kwanini alshababu,kwanini boko haramu, kwanini ISIS,kwanini nani sijui! na wakiuwa wanasema alkubalu! ndio mnavyo fundishwa! msiwakatae wenzenu! ndivyo mlivyo..
Kongo DR, angola, sudan kusini, kuna waasi NA hiyo alkubalu wanaitaja kwa lugha yao
 
PANDE MBILI ZOTE NI SHIDA TU HAO ALSHABAB WAZAZI N'A HAO WAISRAEL WAZAZI

OVA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…