Watoto wa Alshabab walivoadhimisha Eid

Uzao wa shetani..!!
Jay One;
Sio uzao wa Shetani. Una maana kuwa mama zao walilala na shetwani?? Ni kosa kuubwa kumharibu mtoto asiyejua lolote kwa sababu ya mawazo yako potofu. Huyu mtoto angelikua huru sidhani ka angelifuata ujinga huu.
Acheni watoto wajiamulie wenyewe hatma yao. Wazazi wako hawakukukuza kihivyo, mbona weye unawaharibu malaika?
 
Uzao wa shetani..!!
Hakuna uzao wa shetani Ila sisi wenyewe tunafanya ushetani, mambo ya kumsingizia shetani kwenye vitu ambavyo tuna uwezo navyo ni kosa ambalo tunastahili kuadhibiwa
 
Hivi Kwani kule Burma wanaofanya mauaji ni waislam?Hitler nae aliyeua mamilioni ya mayahudi ni muislam?wauaji hawana dini hakuna dini inafundisha mauaji na ukatili. Kwa taarifa yako uislam kwenye swala la vita upo wazi miongoni mwa sheria za vita haruhusiwi kuua mwanamke, mtoto na hata mzee.
Sasa fuatilia historia ya mashambulizi la hao magaidi uone je wanatekeleza hivyo? jibu bila shaka ni hapana.
Kwahiyo they have nothing to do with Islam.
 
Hata kwetu mpo wenye tabia ya kuwanunulia watoto midori ya bunduki badala ya baskeli,Gari au vifaa vya shule. Hao ni wauaji watarajiwa.
Hawa nasikitika sana nionapo watoto wanapewa toy guns. psychologically tunawaharibu sana hawa watoto. Nimewahi kugombana sana with my brother because of these stuffs
 

Acha kujigeuza mpumbavu ili kukidhi tashwishwi zako za kipumbavu! Hitler aliua watu kwa jina la dini? Tena "dini" ya mwenyezi mungu? Burma nako wanauwa kwa jina la mungu? Kuna mpumbavu mwingine naye katolea mfano wa Rwanda; nako waliuwana kwa jina la dini ya mwenyezi mungu? Alshabaab, Boko Haram, ISIS, Alqaida, na wengineo wa aina hiyo mauwaji wanayoyafanya mwenyezi mungu wao hutangulizwa mbele. Acha kutetea ushenzi bro.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…