Watoto wa Alshabab walivoadhimisha Eid

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
mabunduki yenyewe hayauwi botion
Wawe wanahusiana na Al Shabaab au la, kumbuka "bunduki iliyo kichwani mwa mtu ina nguvu kuliko iliyo mikononi mwake."

Usiniambie hujui mambo yanayomjenga mtoto kuwa mkorofi. Labda hujawahi kulea, maana vitabu vya malezi na malezi halisi havifanani.
 
Hao sio waislam, na hawana sifa za mujahedeen, kwa kuwa wengi wanafanya ujambazi na kuishi kwa kupora kwa kisingizio cha jihadi. Kifupi hao wanaojiita wafia Dini enzi za mtume waliitwa Mabedui, na kazi yao kuu ni unyang'anyi.
 
Badala ya kuwafundisha na kuwakuza watoto katika njia impendezayo Mungu wao wanawajaza upumbavu. Akili za kishetani hizo.
Halafu wanakuja kusema hao sio Waislam....hahahaaaa
 
Badala ya kuwafundisha na kuwakuza watoto katika njia impendezayo Mungu wao wanawajaza upumbavu. Akili za kishetani hizo.
usipanic, wanadai uhuru wao

hata sudan kusini walipokuwa hawajapata uhuru ungekuja na comment kama hii
 
usipanic, wanadai uhuru wao

hata sudan kusini walipokuwa hawajapata uhuru ungekuja na comment kama hii
Uhuru gani wanaoukosa waislam duniani kote wapo na wanafanya imani zao bila shida!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…