Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 333
- 1,261
Sema wakati fulani watu mnasumbua sana, hakuna haja ya kuwa na watu maana dunia yote hii watu unaowaona walikuwa watoto.Ila jamaa ana hoja. Wakati fulani watoto nao wanatusumbua sana. Tena kama hawa wa 2000, ndiyo balaa kabisa. Ni basi tu tunawavumilia.
Utasemwa, kama mmeamua kuto zaa, timizeni hilo kimya unamtangazia nani, ukiamua kutangaza kukubali maoni yao.Bongo hii utaseeemwa wewe upate pressure ya masikio na mkeo,utapewa shutuma za gumba na utasa mawaifi na ma mkwe watadai katoto.