Watoto ndani ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto ndani ya ndoa

Discussion in 'JF Doctor' started by Mfamaji, Oct 6, 2009.

 1. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Nimesoma thread ya Mwendapole https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/40413-siwezi-amini-hichi-kitu-kinaweza-kutokea-soma-kisha-hiki.html nikaona tuzungumze jambo hili. Nitaanza na mfano wangu mwenyewe.

  Uhusiano wangu na wife uliharibika wakati fulani alipotoka nje ya ndoa. Sikumfukuza na yupo hadi leo. Namshukuru Mungu majibu yangu yapo gado sijapata maambukiizi. Pamoja na kwamba nikikumbuka roho huniuma sana lakini mimi napenda watoto, na ndio hedge iliyofanya ndoa yetu isisambaratike wakati ule japo baadae inaweza kuishia kwenye rocks. You never know with women.

  Sasa tatizo langu jpya ni hili. Mimi nataka wife azae mtoto mwingine .Yeye anapiga chenga na nahisi ametumia njia ya uzazi wa mpango bila mie kujua . Muda umepita na nisingependa kuwa na kitoto kichanga wakati nimeshakuwa too old for that.

  What do I do now? Should I get a nyumba ndogo for that reason . should I revive my anger , and get her out of face for good ? should I keep calm as I did before?

  Mchangiaji anaweza kusema hatujazungumza . Mind you tumezungumza sana naye hakatai wala hakubali. Na time inakwenda. Tuchangie tafadhali.
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mods. Please ihamishie kunakostahili. Sorry.
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Wanaume wengine mlipaswa kuzaliwa tumbo moja na Yesu. Yani mkeo anatoka nje ya ndoa, halafu unaendelea naye. Grrrrrrrr. Sina ushauri, manake hauna test yangu kabisa.
   
 4. M

  Msindima JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Haa we Chrispin ni mara ngapi wewe umetoka nje ya ndoa na mkeo akajua na akakusamehe? Kwa nini kosa anapofanya mwanamke ndo linakuwa kosa ila akifanya mwanaume sio kosa?

  Binafsi nampongeza sana huyo jamaa kwa kuwa mvumilivu na kuendelea kuishi na mke wake.
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  We mdanganye mwenzio aendelee kumegewa ye avumilie tu. Mi sijawahi kufumaniwa. Nikitoka nje natoka kwa mahesabu makali, mke wangu asijue. Akijua, ana kila sababu ya kunipiga kibuti. Naye atoke, lakini nikijua, hamna cha mswalie mtume wala nini.

  Lakini Msindima, mwanaume kutoka nje ya ndoa ni jadi yao. Thats why mnaturuhusu tuoe wake zaidi ya mmoja. Ulishawahi kuona mwanamke anaolewa na wanaume wawili.

  Hata wanyama wanaitekeleza hii jadi. Angalia, mafahari wawili hawakai zizi moja. Au mtaani kwenu hamna jogoo? Angalia, mtaa mzima anamiliki jogoo mmoja na mitetea waaaala haina wivu. We were not made for one woman jamani. but woman was made for one man!
   
 6. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Jambo la kufanya ni kurudi kwenye meza ya mazunguzo tena. Unasema umeshazungumza naye lakini hakatai wala hakubali. Hii inaonesha mazungumzo yenu bado si ya kina sana kwani mwenzako bado hajakujibu, yaani hajaamua: kama yuko tayari kuzaa au la. Jitahidi kuongea naye tena mpaka akupe jibu la wazi: la ndiyo au hapana. Akisema "hapana" atoe sababu za msingi. Ni kutokana na sababu hizo mnaweza kuendelea kuzungumza ili kuzitafutia ufumbuzi naye abebe mimba au kama zitakuwa na uzito basi wewe ukubali msizae tena.

  Kwa hali inavyoonekana mkeo ni msiri. Anakuficha mambo fulani. Hataki ujue yote. Na hii ni hatari. Ni mwanzo wa kwenda njia mbaya. Muhimize ili awe huru kujifunua kwako.

  Kama hataki kuzaa yawezekana pia kwamba huenda bado hajaacha kale kamchezo alikokufanyai wakati ule akijua kwamba akibeba mimba atampoteza jamaa. Kumbe ili aendelee kufaidi lazima abaki alivyo. Chunguza hilo mkuu.
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ungekuwa unanieezea face 2 face ningekuchapa kofi..........
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  tafuta kabinti kadogo ka nje nawe ujinafasi mbona unabaniwa kiivo? ila kasiwe kabinti ka mizinga............
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280

  Acha ukali mshosti. Kwa taarifa yako, burn na FL1 wananifanyia mpango tumegane mimi na wewe. Tembelea thread ya FL1 uione kampeni inayoendelea kule.
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mpe nafasi. Nadhani nayeye ni mtu considerate, anaelewa anachokifannya, na ana sababu za msingi za kukataa kwa sasa, huenda amegundua kitu cha maana zaidi, ambacho wewe unakineglect. There must be a reason to areason!

  Achana na hao wanaokwambia mambo ya KABINTI...et al, wanakulostisha zaidi!
   
 11. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Yule mke ni Dizaini ya Asha ngedere,sasa subiri Kipondo badae.Huwezi jua na yeye yupo humuhumu JF.
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Na kweli, isije ikawa ni wewe manake watu hawatumii majina yao halisi humu ndani isipokuwa mimi tu.
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Data na vidhibiti vinakusanywa ,siku ikifika ,nakuonea huruma.
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Lol! Nisamehe mke wangu.
   
 15. M

  Msindima JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani what kind of ushauri is this?
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Whats the problem with it?
   
 17. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kufanya unavyofikiria wewe, nami pia ningeweza. Ni kweli sina test yako ila omba Mungu yasikukute in my style. Kufukuza na kubaki ndizo only choice . You sometimes opt for the worse choice inorder to rescue what may become another catasrophy . It's me anyway.

  BabuYao ni kweli ni msiri . Inawezekana ana mpango wa kummegea tena jamaa lakini amekuwa so low and looks like she is regretting for what she did japo muda mrefu kidogo umeshapita. Nahisi anaogopa naweza kuja kurevenge baade .

  Watu wengine wanaopt for nyumba ndogo. It sounds very very reasonable for an ordinary man and for a case like this. Anyway , If worse comes to worse I may opt for A worse solution as well.

  REMEMBER THIS IS A TRUE STORY. IT MIGHT HAPPEN TO YOU ANYTIME ANY DAY AS LONG AS YOU ARE A MARRIED.
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280

  Kama ndio decision yako binamu, unaomba ushauri wa nini? Endelea naye huku unalialia mpaka akuonee huruma aache tabia mbaya ya kutoka nje ya ndoa, akuzalie watoto waizunguke meza yako wakati wa chakula cha mchana.
   
 19. Naumia

  Naumia Member

  #19
  Oct 6, 2009
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 13
  Kazi kweli!
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Kazi kubwa au ndogo? Au unabisha kipi hapo?
   
Loading...