Watoto nchini Syria wanapata shida sana ya Baridi

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,515
2,000

Mtoto wa Ki-Syria akiwa chumbani hapo hakuna moto wa kupata joto na amelala ndani ya barafu. Ewe Mungu wasaidie hawa malaika hawana makosa ameen.... Syrian Refugee Blanket Appeal
Last day to reach the goal! Support now!!!

Kambia za Wakimbizi nchini Syria.

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,515
2,000
Hizi nchi zinapata baridi kali kama hii??
Baridi huku ipo kali sana hiyo ni baridi ndogo baridi ikiwa kali barafu inakuwa nyingi kiasi huwezi kutembea kwa miguu kabisa au ukitembea kwa miguu unaweza kuanguka mimi siku za mwanzo nilikuwa ninanguka kila wakati mpaka nimezoea sasa utafiti Baradi ya huku inafika mpaka -20 Urusi inafika mpaka -50 wanyama kama paka mbwa wanakufa au hata wazee kwa umri wanaweza kufa kwa baridi huko Urusi hakufai kabisa kwenda.
 
Last edited by a moderator:

utafiti

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
12,797
0

Mkuu MziziMkavu naulizia hizi nchi za warabu nao wanapata hali kama hii??
 
Last edited by a moderator:

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,515
2,000
Baridi la iringa kumbe chamtoto!
Mji wa Erzurum nchini Turkey kwa hivi sasa ndio ulivyo angalia picha kisha fananisha na huko Mjini Iringa kwako Mkuu MandigoNyumba za milimani anagalia njia ya Treni hiyo....
Hapo ni vijijini ErzurumHapo ni mjini Erzurum
Katikati ya mji unaweza kufananisha na bongo sehemu ya Mnazi mmoja hapo.Mkuu utafiti upo?
 
Attachments

Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom