Watoto na UFO (Unidifined Flying Objects) Aliens

Watoto na UFO (Unidifined Flying Objects) Aliens

na ushuhuda wa pili ktk pori la ushirombo niliona jambo ambalo mpaka sasa ninavyoandika hakuna mtu anaweza kuniamini lakini tukio hili lilitokea mbele yangu hivi, tena sio usiku ni mchana kweupe kabisa! tulikuwa gari mbili mwenzangu alikuwa kaniacha kama mita 500 hivi mm nipo nyuma namfuata na siku hiyo kulikuwa na mvua kubwa sana kiasi inabidi uwashe double hazard ili kama kuna mwingine anakuja aweze japo kuona kama kuna gari mbele! nilishuhudia semi ya yule aliyetangulia inainuka juu na inainuliwa na kitu kama miali ya umeme wa bluu yaani kama radi ile miale iliinuliwa usawa wa nguzo wa ya umeme! kisha ilipigwa na kitu kule juu mpaka container ikachanika kule juu huku ikodondoka kama vile mtu ameubetua mpira kisha akapiga shuti kali akidhamiria ule mpira udunde chini basi ilikuwa hivyo. kwa kweli nilipatwa na hofu sana sikusimama nilitembea nikaita pale lilikotokea lile jambo chuma ikapita fresh kabisa nilipogika Runzewe nikapak nikawa nasikilizia wa nyuma kama waliikuta ile ajali na ni kweli ile gari ilipata ajali lakini ilikuwa haitamaniki na tulineba mzigo mmoja machuma ya minala yalikuwa yanapelekwa Buja! hivyo mimi ni mmoja wa wanaoamini hatupo pekeyetu kwa matukio hayo mawili

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchunguzi ulipofanyika walibaini nini chanzo Cha ajali..?
 
Kwa wewe sikukatalii umeshaona vingi sana inawezekana yule mwanamke wako anayetoa moto mdomoni alikuwa ni moja ya sababu ya kukufanya kuona mambo mengi yasiyowezekana kuonwa na wengine aisee.
 
UFO ku-exist haimaanishi kuna ulazima wa viumbe wa sayari nyengine kuja duniani.

Unafahamu kuwa Avro Canada Canadian aircraft manufacturing company mwaka 1953 ilitoa siri kuwa walikuwa wanatengeneza flying vehicle? Kwenye kuielezea walisema ni circular jet aircraft ambayo yenye uwezo wa kukimbia kwa mwendokasi wa 1,500 mph (2,400km/h).

Baada ya hiyo kampuni kuzungumza hivyo Bw.Georg Klein ambaye ni German engineer alisema hiyo kampuni haitengenezi kitu chochote kipya bali kiuhalisiya wana copy and engineering UFOs that were developed during Nazi Germany.

Flying saucer zilianza kuonekana miaka ya mwishoni ya ww2 ambapo meli za jeshi la US na Soviet kama sijakosea walienda bara Antarctica ambapo kulikuwa na base nyengine ya siri ya kijeshi ya Nazi ambapo walishambuliwa na hizo flying saucer. Tena kilikuwa na uwezo wa kuzama majini na kupaa kwa kasi kuliko ndege vita ya kipindi hicho. Hitler alikuwa yupo mbali kiteknolojia ndiyo maana US na Soviet walikuwa wakipigania kuwapata scientis wa Hitler. Hiyo documentary inayooyesha hizo saucer zikishambulia meli nilikuwa nayo video za black and white ila sasa hivi sina.

Hii ni nyaraka ya CIA kuhusu flying saucer.
View attachment 1438725

Inshort CIA hii ajenda wameibeba kupotosha watu kwa nia nzuri ya wao kutengeneza vifaa vita vya ajabu vya siri na kuvifanyia majaribisho. Kwa vile ni kifaa kilicho na muundo tofauti na watu walichokizoea kitakuwa tu Unidentied Flying Object. Hakuna cha Alien! Watu wanakamilisha mipango yao tu.
Msaada wa kitabu soma icho
 
Attachments

Back
Top Bottom