understanding
Member
- Feb 17, 2013
- 75
- 34
Salaam na poleni sana na kazi wadau.
Jana nilisoma gazeti la The Citizens kuhusu habari ya hawa mapacha nikaguswa na kufurahi kusoma kwamba wanaendelea vizuri na afya zao. Leo nimesoma magezeti megi kama Mwananchi na kutembelea blog ya Michuzi nimekutana na habari yao na picha zao zikiwaonyesha jana walipoingia Tanzania.
Naomba kufahamu kwa sasa kama nikitaka kuwasalimia nitawaona wapi? Nimewapenda sana na nikatamani kuwasalimia na kuwabeba watoto wazuri sana hawa...
Tunaomba kuambiwa namna ya kuwafikia (kama inaruhusiwa) na mawasiliano pia...
Mungu ni mwema sana, watoto hawa ni wazuri sana... Mungu awabariki sana....