Mungu yupo mama.Habari zenu wakuu
Nna mtoto mchanga ana miezi miwili ana mwezi sasa hapati haja kubwa, nasubiria afikishe miezi mitatu aweze kupimwa x-ray inabidi apigwe bomba mara kwa mara, mwanzoni alikuwa anapata wakati anazaliwa, nyie sikieni tu nina mawazo sana.
Kumekuwa na wimbi sasa la watoto wachanga kuzaliwa wakiwa hawana sehemu ya haja kubwa pia watoto kushindwa kujisaidia inapelekea wanatobolewa tumbo ili uchafu uwe unapitia hapo na wakifikisha mwaka mmoja na nusu anafanyiwa upasuaji kutengenezewa sehemu ya haja, mwingine kafanyiwa upasuaji lakini tumbo limejaa ana miaka miwili, na hii nimeona hapo Bugando hospital.
Imekuwaje watoto sasa hivi wanazaliwa na shida sana, ina maana hawachunguzi nini kinasababisha. Watoto ni wengi wenye hio shida. Waziri afya yupo wapi na sioni hata ikizungumziwa?
Je ni Mwanza tu au hata huko Dar na sehemu zingine hali ni hiyo? Au nyie salama?
Akili Za wanawake na "Mchungaji wangu"Umelogewa mwanao...
Nenda kwa maombi...
Nahisi ni matumizi ya dawa kali kipindi cha uja uzito au dawa za kuzuia mimbaHabari zenu wakuu
Nna mtoto mchanga ana miezi miwili ana mwezi sasa hapati haja kubwa, nasubiria afikishe miezi mitatu aweze kupimwa x-ray inabidi apigwe bomba mara kwa mara, mwanzoni alikuwa anapata wakati anazaliwa, nyie sikieni tu nina mawazo sana.
Kumekuwa na wimbi sasa la watoto wachanga kuzaliwa wakiwa hawana sehemu ya haja kubwa pia watoto kushindwa kujisaidia inapelekea wanatobolewa tumbo ili uchafu uwe unapitia hapo na wakifikisha mwaka mmoja na nusu anafanyiwa upasuaji kutengenezewa sehemu ya haja, mwingine kafanyiwa upasuaji lakini tumbo limejaa ana miaka miwili, na hii nimeona hapo Bugando hospital.
Imekuwaje watoto sasa hivi wanazaliwa na shida sana, ina maana hawachunguzi nini kinasababisha. Watoto ni wengi wenye hio shida. Waziri afya yupo wapi na sioni hata ikizungumziwa?
Je ni Mwanza tu au hata huko Dar na sehemu zingine hali ni hiyo? Au nyie salama?
Hii ishu inakuhusu wewe?Sawa Ndio nasubiria tarehe walonipangia
Unajua ukiacha "" mungu amepanga "" kuna hatari sana ya kipindi cha ujauzito mtu kula au kutumia vitu flani flani ambavyo huwa sababu ya haya yote ndo mana kuna washauri wa haya mambo ila kama ulizingatia ni kuomba mungu tuu..Nimezingatia sana tu
Hili nimejalibu kumdokezea ila je hii la dawa za kuzuia mimba kwa kipindi hicho au hapo nyuma kabla ya huo ujauzitoNahisi ni matumizi ya dawa kali kipindi cha uja uzito au dawa za kuzuia mimba
Mkuu haya ndio matatizo ya Dunia ya sasa usilalamike sana wala kujiona wewe ndio una mikosi
Hali hii inasababishwa na jinsi binadamu tumeamua kuishi kama vile tunaigiza hebu fikiria mama mjamzito anakula chips na soda miezi yote 9 ya ujauzito wake nini kitamtokea kiumbe aliyeko tumboni kama sio kuzaliwa akiwa hana mapumbu
Pole sana mkuu. Usikate tamaa tiba za hilo swala zipo.
We acha tu
Pole katapona na hongera DinaNdio
Aisee pole sana. Kweli hii dunia waweza tamani usingezaliwa. Yaani hapo kwa kweli hauko sawa yaani pole sana Kaka/dada.Habari zenu wakuu
Nna mtoto mchanga ana miezi miwili ana mwezi sasa hapati haja kubwa, nasubiria afikishe miezi mitatu aweze kupimwa x-ray inabidi apigwe bomba mara kwa mara, mwanzoni alikuwa anapata wakati anazaliwa, nyie sikieni tu nina mawazo sana.
Kumekuwa na wimbi sasa la watoto wachanga kuzaliwa wakiwa hawana sehemu ya haja kubwa pia watoto kushindwa kujisaidia inapelekea wanatobolewa tumbo ili uchafu uwe unapitia hapo na wakifikisha mwaka mmoja na nusu anafanyiwa upasuaji kutengenezewa sehemu ya haja, mwingine kafanyiwa upasuaji lakini tumbo limejaa ana miaka miwili, na hii nimeona hapo Bugando hospital.
Imekuwaje watoto sasa hivi wanazaliwa na shida sana, ina maana hawachunguzi nini kinasababisha. Watoto ni wengi wenye hio shida. Waziri afya yupo wapi na sioni hata ikizungumziwa?
Je ni Mwanza tu au hata huko Dar na sehemu zingine hali ni hiyo? Au nyie salama?
Dem wangu Diana aliwai kupata mtot wa namna hyo ila hajawa rizikiHabari zenu wakuu