Watoto kuzaliwa hawana sehemu ya haja kubwa

Habari zenu wakuu

Nna mtoto mchanga ana miezi miwili ana mwezi sasa hapati haja kubwa, nasubiria afikishe miezi mitatu aweze kupimwa x-ray inabidi apigwe bomba mara kwa mara, mwanzoni alikuwa anapata wakati anazaliwa, nyie sikieni tu nina mawazo sana.

Kumekuwa na wimbi sasa la watoto wachanga kuzaliwa wakiwa hawana sehemu ya haja kubwa pia watoto kushindwa kujisaidia inapelekea wanatobolewa tumbo ili uchafu uwe unapitia hapo na wakifikisha mwaka mmoja na nusu anafanyiwa upasuaji kutengenezewa sehemu ya haja, mwingine kafanyiwa upasuaji lakini tumbo limejaa ana miaka miwili, na hii nimeona hapo Bugando hospital.

Imekuwaje watoto sasa hivi wanazaliwa na shida sana, ina maana hawachunguzi nini kinasababisha. Watoto ni wengi wenye hio shida. Waziri afya yupo wapi na sioni hata ikizungumziwa?

Je ni Mwanza tu au hata huko Dar na sehemu zingine hali ni hiyo? Au nyie salama?
Mungu yupo mama.
Pole sanaaa.

#YNWA
 
Mkuu haya ndio matatizo ya Dunia ya sasa usilalamike sana wala kujiona wewe ndio una mikosi

Hali hii inasababishwa na jinsi binadamu tumeamua kuishi kama vile tunaigiza hebu fikiria mama mjamzito anakula chips na soda miezi yote 9 ya ujauzito wake nini kitamtokea kiumbe aliyeko tumboni kama sio kuzaliwa akiwa hana mapumbu
 
Nahisi ni matumizi ya dawa kali kipindi cha uja uzito au dawa za kuzuia mimba
 
Mkuu haya ndio matatizo ya Dunia ya sasa usilalamike sana wala kujiona wewe ndio una mikosi

Hali hii inasababishwa na jinsi binadamu tumeamua kuishi kama vile tunaigiza hebu fikiria mama mjamzito anakula chips na soda miezi yote 9 ya ujauzito wake nini kitamtokea kiumbe aliyeko tumboni kama sio kuzaliwa akiwa hana mapumbu

We acha tu
 
Pole saana mshikaji wangu, ina maana ushampata naniliu mdogo wake?

Mungu akufanyie wepesi.
 
Habari zenu wakuu

Nna mtoto mchanga ana miezi miwili ana mwezi sasa hapati haja kubwa, nasubiria afikishe miezi mitatu aweze kupimwa x-ray inabidi apigwe bomba mara kwa mara, mwanzoni alikuwa anapata wakati anazaliwa, nyie sikieni tu nina mawazo sana.

Kumekuwa na wimbi sasa la watoto wachanga kuzaliwa wakiwa hawana sehemu ya haja kubwa pia watoto kushindwa kujisaidia inapelekea wanatobolewa tumbo ili uchafu uwe unapitia hapo na wakifikisha mwaka mmoja na nusu anafanyiwa upasuaji kutengenezewa sehemu ya haja, mwingine kafanyiwa upasuaji lakini tumbo limejaa ana miaka miwili, na hii nimeona hapo Bugando hospital.

Imekuwaje watoto sasa hivi wanazaliwa na shida sana, ina maana hawachunguzi nini kinasababisha. Watoto ni wengi wenye hio shida. Waziri afya yupo wapi na sioni hata ikizungumziwa?

Je ni Mwanza tu au hata huko Dar na sehemu zingine hali ni hiyo? Au nyie salama?
Aisee pole sana. Kweli hii dunia waweza tamani usingezaliwa. Yaani hapo kwa kweli hauko sawa yaani pole sana Kaka/dada.
It pain a lot yaani than a lot.
 
Habari zenu wakuu

Nna mtoto mchanga ana miezi miwili ana mwezi sasa hapati haja kubwa, nasubiria afikishe miezi mitatu aweze kupimwa x-ray inabidi apigwe bomba mara kwa mara, mwanzoni alikuwa anapata wakati anazaliwa, nyie sikieni tu nina mawazo sana.

Kumekuwa na wimbi sasa la watoto wachanga kuzaliwa wakiwa hawana sehemu ya haja kubwa pia watoto kushindwa kujisaidia inapelekea wanatobolewa tumbo ili uchafu uwe unapitia hapo na wakifikisha mwaka mmoja na nusu anafanyiwa upasuaji kutengenezewa sehemu ya haja, mwingine kafanyiwa upasuaji lakini tumbo limejaa ana miaka miwili, na hii nimeona hapo Bugando hospital.

Imekuwaje watoto sasa hivi wanazaliwa na shida sana, ina maana hawachunguzi nini kinasababisha. Watoto ni wengi wenye hio shida. Waziri afya yupo wapi na sioni hata ikizungumziwa?

Je ni Mwanza tu au hata huko Dar na sehemu zingine hali ni hiyo? Au nyie salama?
Dem wangu Diana aliwai kupata mtot wa namna hyo ila hajawa riziki

Pole Sana mkuu ila pia usiwapuuze kina mwamposa narudia usiwapuuze kina mwamposa na wengine
 
Back
Top Bottom