Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Ndio. Huwa nashangaa mtumishi kuwa na walinzi maana yake wana maadui au dah ai donti andastendiHao wengine ni walinzi?
fashion tu........unafanya kazi ya Mungu uadui mkubwa utakuwa ni wa kiroho.Ndio. Huwa nashangaa mtumishi kuwa na walinzi maana yake wana maadui au dah ai donti andastendi
[emoji38] [emoji38] huyu mlinzi mbona kiatu chake kama kichafu kichafu hivi??? (in salama voice)Ndio. Huwa nashangaa mtumishi kuwa na walinzi maana yake wana maadui au dah ai donti andastendi
Mwemwemwemwemweh(kwa sauti ya komediani Senga aka mzee wa mfurugo[emoji38] [emoji38] huyu mlinzi mbona kiatu chake kama kichafu kichafu hivi??? (in salama voice)