Watoto....best interest.....


Nililelewa kijijini mpaka nilipofikisha miaka kumi na tatu..kwa umri kama huo hata ningeenda kuishi na mzazi asiye na muda na mimi isingeniumza wala kuniathiri sana kwasababu tayari nilikua na uwezo wa kuelewa kwamba zipo sababu za yeye kua mbali na mimi.Tofauti na mtoto chini ya umri huo.

Na kwa point naweza kuendelea kumtetea huyo mama ambae ameona kuliko kumtelekeza mtoto wake na house girl asiyemjua wa undani ni bora ampeleke kwa ndugu/wazazi wake anaowajua vuzuri sana kwahiyo ana uhakika kipengele cha manyanyaso hakitakuwepo.Anaweza akawa na malengo ya kumchukua na kukaa nae pindi atakapokua kidogo ili hata ikitokea mfanyakazi akawa sio mzuri sana asiweze kumnyanyasa na kumfanyia mambo yasiyo faa kutokana na umri wake.Atakua na sauti/uwezo wa kukataa inapobidi pia kumweleza mama yake kwa uwazi zaidi kama kuna tatizo.

Again yote nnayoyaongelea sio tu nimeona na kusikia kwa watu wengine bali hata mimi mwenyewe nilipitia.Nilipokua mdogo kidogo nadhani miaka minne au mitano ulitokea msiba ikabidi mama atuache na mfanyakazi.Alitulaza njaa siku hiyo hiyo kwasababu umeme ulikua umekatika/hakununua mafuta ya taa mpaka klgiza linaingia na duka lilikua mbali hivyo kutumia jiko la mchini isingewezekana na mwisho kabisa hakutaka/aliona kazi kuwasha jiko la mkaa.First thing in the morning alikuja dada yetu mmoja kuangalia tunaendeleaje ndo akapata kujua hatukula jana yake (mind you we weren‘t ratting the girl out but something happened so we had to tell) .Sasa hapo ndio muone tofauti ya ndugu (japo nao sio wote wenye mapenzi) na mtu baki awe mfanyakazi au mama wa kambo ambao wengi wao hua hawajali ilimradi wao wapate chao.
 
That‘s my papito..
 
I didn't say you said it and that is why I asked if you do practice it because you were vague in your answer/ statement! Or did you miss the question mark at the end of the sentence?
Our ancestors preached polygamy, huh?
 
Nani mwenye mamlaka ya kuamua mtoto apate wapi mapenzi usemayo? Hapa ndo kunabeba masilahi ya mtoto....I second.... Dah....kuachana ni ngumu sana kumeza ADI.... Aseee....
Mzazi mmoja au wote wawili depending on who‘s more interested on the well-being of the child.
 

...Narudia tena. Tunatofautiana kimtazamo. Nimetoa mfano wa ndugu yangu, na mazingira ninayoyafahamu.
Kuhusu wote, sina ufahamu huo, kwani kila mtu na experiences zake.

La pili ni hilo la baba anaishi Dar, mama anaishi Arusha, mtoto anaishi kijijini Tanga.
Baba hajamuona binti yake tangu alipoondoka na mama yake, zaidi ya miezi tisa sasa.
Hajui anakula nini, hajui afya yake, yaani communication kuhusiana na binti yake ni Zero!
Sidhani hiyo ni halali.

Tukumbuke, baba mtu kadai haki ya kumuona mwanawe bila mafanikio ndio maana amefikia
kulifikisha suala hili mahakamani. Hapa sidhani kama ninaeleweka kwako nazunguzia Upendo wa aina gani.

Hayo ya huduma nzuri za afya/matibabu, shule nk najua ninachozungumzia na mazingira mtoto alipo.
Naamini tunazungumzia mada ihusuyo Mzazi anapotumia mtoto kumchapia mzazi mwenziwe.
Hudhani huyu baba anayenyimwa haki ya kujua welfare ya mwanawe hayafikirii yote hayo?
 
So you practice polygamy?

But you still haven't answered my question. What does O-D-M stand for? Ol' Dirty Mbuzi?
Thought I was chatting with a real gentleman. I better edit my list.... the earlier the better........ the best...... Cheers!
 
Reactions: Mbu
Thought I was chatting with a real gentleman. I better edit my list.... the earlier the best...... Cheers!

But sir, you still haven't told me what ODM stands for! How many times do I have to keep on asking you? I just didn't think for a single solitary second that such a question would stump you. But it's okay if you don't want to tell me.

I just asked out of curiosity and sorry if in any way, shape, form, or fashion you felt slighted by my words. Have an uber-evening.
 

Well since uko tayari tayari sana kumtetea rafikiyo unajua sababu ya mama kumweka mbali na mtoto?!Unajua ni katika harakati gani mtoto alitungwa na hata kuzaliwa?!

Kama majibu ya mwaswali yangu unayo na ndio ukweli wa mambo (hujafichwa wala kudanganywa) basi tumia hayo kupima maamuzi ya mama na kuamua kama kuna usahihi au la.Maana sio rahisi mtu akamnyima mwenzake kumuona tu mtoto (achilia mbali kumchukua) bila sababu ya msingi.Na amini usiamini zipo sababu zinazoweza kumfanya baba au hata mama anyimwe kabisa kua karibu/kumwona mwanae ndio maana hata mahakama hua zinatoa hukumu za aina hiyo sometimes.
 
Mheshimiwa Moskwito........ kuna msemo mmoja unasemaga.... "baba wa mtoto ni siri ya mama"........ huenda kuna kauwezekano ka siri flani hapo..
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…