MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Zaweza kuwepo...japo labda hazitoki kwa mtoto.....
Hivi mzazi wa kike akikosa uwezo wa kukaa na mtoto wa miezi miwili (labda sababu za kimaisha ama ugonjwa)...kwa nini baba asipewe jukumu hilo kama anaweza?
Rai yangu ni muda wote kufanya maamuzi yanayozingatia masilahi ya mtoto kwanza....
hommie baba anakaaje na mtoto aw miezi miwili? atamnyonyesha? nadhani hapo ingekuwa kuweka mazingira wezeshi, ya kumsaidia mama/mamdogo/shangazi/ili waweze kuziba pengo la mama
Kumbuka baba anatambulika kwa majukumu yake,,,nazungumzia maslahi ya mtoto zaidi hapo
Hommie...... Baba akabidhiwe mwanae kama mama hana uwezo wa kulea kutokana na sababu yoyote ile. Baba ndo aamue nani wa kumsaidia kumlea mwanaye......... haifai kuopt kwa ndugu wengine bila kumhusisha mwenye mtoto.hommie baba anakaaje na mtoto aw miezi miwili? atamnyonyesha? nadhani hapo ingekuwa kuweka mazingira wezeshi, ya kumsaidia mama/mamdogo/shangazi/ili waweze kuziba pengo la mama
Kumbuka baba anatambulika kwa majukumu yake,,,nazungumzia maslahi ya mtoto zaidi hapo
Darling I am sorry to say hapa napingana na wewe....Kuna mifano mingi tumeona katika jamii... kama kakaa na mamake kwa miaka saba yoote, what is wrong with huyo mama aendelee kumtunza?? Pamoja na kusema baba anatambulika NDIO, But kumbuka kua mama mara nyingi humlea mtoto kwa karibu kuliko hata baba, baba akimchukua in most cases anapelekea kwa Step mom, why not leave the kid na mamake uendelee kutoa huduma??
Hommie...... Baba akabidhiwe mwanae kama mama hana uwezo wa kulea kutokana na sababu yoyote ile. Baba ndo aamue nani wa kumsaidia kumlea mwanaye......... haifai kuopt kwa ndugu wengine bila kumhusisha mwenye mtoto.
Ndio maana nikasema ni vema likaangalia na kigezo cha uwezo hata hivyo nadhani pia kuna assumption kuwa mtoto wa chini ya miaka saba bado anatakiwa kuwa attached na mama yake (kuna ile bond kati ya mama na mwana ambayo ni muhimu sana kipsychologia kwa maendeleo ya mtoto) that is why hata sheria inambana Baba kama mama hana uwezo wa kulea basi baba atoe matumizi wakati mtoto anaendelea kuishi na mama. Ila wengi wetu tunaitumia hii chance vibaya, wengine huwakatalia hata wenzi wao kuja kuwaona watoto wao kwa kisingizio cha ugomvi! ni immature thinking tu na uselfish wa kipotofu.
Mtoto ana haki ya wazazi wote wawili (hata kama wameseparate, wametalikiana au wanaishi pamoja)
Mtoto ana haki ya mapenzi toka kwa pande zote mbili na anayo haki ya kuruhusiwa kupenda wazazi wote wawili
hommie baba anakaaje na mtoto aw miezi miwili? atamnyonyesha? nadhani hapo ingekuwa kuweka mazingira wezeshi, ya kumsaidia mama/mamdogo/shangazi/ili waweze kuziba pengo la mama
Kumbuka baba anatambulika kwa majukumu yake,,,nazungumzia maslahi ya mtoto zaidi hapo
Thanks MJ1....
Vipi hii hali ya mama kumpeleka mtoto mdogo kwa dada yake (au mama yake), anaposhindwa kukaa nae? Kwa nini baba asiwe second option?
Afu Kaizer unadhani wababa wengine ....hasa wale wanaowanyang'anya wake zao watoto wakingali wadogo wengi wao huishia kumpeleka kwa Mama yake, dada yake ni wachache sana wanaoishi nao under one roof na kutekeleza mahitaji ya mtoto....kwa sababu tufike sehemu tukubaliane kuwa malezi ya mtoto ni tofauti na matunzo ya mtoto.....Malezi ni zaidi ya nguo, chakula na malazi.
sweetie, hapo uko sawa na mimi kabisa, nilichosema ni kusupport mtoto kukaa na mtu anayeweza kubeba majukumu ya mama endapo mama anashindwa kwa sababu ya ugonjwa kwa mfano, ambao unamfanya asiweze kumlea mtoto, au kwen extreme labda amefariki....na kukwepa ila issue ya kumfanya mtoto akae na baba yake wakati baba hawezi kumlea kama ambavyo mama angemlea. baba anatakiwa aprovide mahitaji tu, ndo majuku hayo au sio love
Yanii uniachie kakid hako kakizaliwa:mimba: si itakuwa balaa love?
Mmmh hawa watakatifu wazamani, wanakuaga na point siku ya Ijumaa kweli? Dah ubarikiwe kwa somo zuri.
Wapo wengine na hii ni kwa wote wankwenda mbali zaidi kwa kuwatorosha na kuwaficha kabisa watoto hawa nao tuwaambieje?
mtafutie RB ukimwona tu kamata tupa selo kesho yake mahakamani...iwe funzo kwa wengine....
Mmmh ex-Saint ni nini? Ndio maana haiwezekani point zitoke ijumaa bana kumbe ni pre-friday Kaizary! Abarikiwe ex-mtakatifu.
Wapo wengine na hii ni kwa wote wankwenda mbali zaidi kwa kuwatorosha na kuwaficha kabisa watoto hawa nao tuwaambieje?
Mmmh ex-Saint ni nini? Ndio maana haiwezekani point zitoke ijumaa bana kumbe ni pre-friday Kaizary! Abarikiwe ex-mtakatifu.
Utaniombea wapi radhi.......