Watoto BALAA Hawa!

Watoto BALAA Hawa!

wakikuwa watakuwa maini yameharibika kabisa
 
hata kwetu wapo
tehetehetehetehet af ujue
hao wanagida vilivyoenda schoool
huku kwetu uswazi wanapiga
gongo .na mataptap ya kila aina
 
316027_296235677059683_100000197588913_1440876_1638396750_n.jpg
 
Vitu vimetengenezwa hivyo hakuna ukweli wowote
 
Balaa ni wazazi wa kipindi hiki ambao hawajui kulea,wanajifanya wanawapenda watoto wao kumbe wanawaharibu .Maana mtoto hawezi kujinunulia pombe wala sigara.
 
Back
Top Bottom