Watoto 100...!

Watoto 100...!

Mentor hii ya leo kama nimevurugwa hapo mwishoni mzee Izadin ndo ana watoto 18? Victor yy hakuomba watoto 100? Victor ameingiaje hapo? Au mzee Izidan alikuwa ndo anakusimulia? Mhhhhh nieleweshe na mimi nielewe.....

Nilikuwa napiga stori na mzee Izadin.

Yeye ndo alinielezea alimwomba Mungu watoto 100 na kwamba mpaka sasa anao 12.

Wakati akinielezea kuwa riziki hapangi binadamu ndo nikkumbuka kisa cha kaka yangu, Victor.

Baadaye akanirudisha kwenye stori yake...
 
Asante sana siku hizi Riwaya ngumu ngumu hatuziwezi tena.....Okey kweli Riziki anapanga Mungu, na mipango siyo matumizi
 
Nilikuwa napiga stori na mzee Izadin.

Yeye ndo alinielezea alimwomba Mungu watoto 100 na kwamba mpaka sasa anao 12.

Wakati akinielezea kuwa riziki hapangi binadamu ndo nikkumbuka kisa cha kaka yangu, Victor.

Baadaye akanirudisha kwenye stori yake...
MentaAaaaaaaaaaaa
 
So sad.....

Ila huyo wife wa Victor ana roho ngumu.....Anakataa damu yake?
 
Back
Top Bottom