Watoe Out sasa ushangae!

Watoe Out sasa ushangae!

Sasa wewe ulitaka uwatoe out halafu watake matunda hayohayo wanayoshindia nyumbani? Hata mtu ukialikwa tu chakula mahali huwezi kufakamia chakula ambacho unakula siku zote nyumbani.
Tatizo lao ni kwamba hata ukiwatoa out bado watakula kwa pozi wanaonjaonja tu na kuacha wakijifanya wamekinai kana kwamba hizo burger na sijui pizza wanakula kila siku.. Ila wakirudi makwao ndo kama hivyo kufakamia viporo vya maharage na ugali..
 
Kuna dem mmoja nilienda kumtembelea. Chakula walichokuwa wanapika pale ilikuwa ugali dagaa na mboga za majani. Si nikarogwa nikamtoa out! Kwanza alichonifanyia ni kunijia na rundo la marafiki. Misosi na vinywaji walivyokuwa wanaagiza! Nilikuwa nimechukua SACCOSS mkopo wa sh laki tano and half of it was slashed in a single night!
Kwa hasira ningeenda kuwatafuna wote
 
Kwi kwi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hawa ni wanachuo waliokuwa hawajaingia chuo siku hiyyo kwasabab hawakuwa na hela Fulani, aliye nunua ni huyo mwenye njano wakati akitok@kwa boy wake na hiyo ilikuwa ni hela ya naul
 
Kuna dem mmoja nilienda kumtembelea. Chakula walichokuwa wanapika pale ilikuwa ugali dagaa na mboga za majani. Si nikarogwa nikamtoa out! Kwanza alichonifanyia ni kunijia na rundo la marafiki. Misosi na vinywaji walivyokuwa wanaagiza! Nilikuwa nimechukua SACCOSS mkopo wa sh laki tano and half of it was slashed in a single night!
Pole kubwa waite tena nikiwepo kisha mengine yote niachie
 
Hawa viumbe ni wa ajabu sana.... Wengi unakutana nao mpaka unawaogopa kwa gharama zao ni kama faru fausta... Sasa kwenye kaangalie wanavyoishi.... Vibweka! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna dem mmoja nilienda kumtembelea. Chakula walichokuwa wanapika pale ilikuwa ugali dagaa na mboga za majani. Si nikarogwa nikamtoa out! Kwanza alichonifanyia ni kunijia na rundo la marafiki. Misosi na vinywaji walivyokuwa wanaagiza! Nilikuwa nimechukua SACCOSS mkopo wa sh laki tano and half of it was slashed in a single night!
Pole mkuu
 
Kila siku unakula wali/ugali maharage. Unatolewa out nako uagize wali/ugali maharage. Hapana aiseeee ni mwendo wa pizza tu.
 
Back
Top Bottom